kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
Mara nyingi nakifinyia kwa ndani itaskika aruf tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi nakifinyia kwa ndani itaskika aruf tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Noma sana alafu kwa nyuma alikuwa na spika kali sana itakuwa huyo teacherSijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Unajikuta upo sehemu matathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
😀😀😀Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
Sikuwa na hizo tabia aiseeKuwa mkubwa hakukufanyi usahau vijambo vyako ulivyojamba ukiwa kijana mkuu?
Yeah mkuuLakini ulichapwa kwa kijambo cha rafiki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu achaa uongooSijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
mama....eeee daah wee jamaa bhangii sanaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuwa mkubwa hakukufanyi usahau vijambo vyako ulivyojamba ukiwa kijana mkuu?