rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aaha uliumbukaaaNilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue