Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Ilibidi paroko atoke kidogo kwenye kale kajumba ka maungamo asubiri hali ya hewa ibadilike . Sio kosa langu kwani nilikumbuka moto wa milele kwa wenye dhambi ndio kishindo kikaingia
Haaaa haaaaa Joseph [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa jioni ukiwa umeshiba nini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Binafsi sijawahi ila nimesingiziwa mara kibao, yaan unakuta umecheal zako mahali kidume uko peke yako umezungukwa na kina dada nini gafla kijambo kinaibuka from no where watu wote macho kwako daaaaaah [emoji27][emoji27][emoji27] inauma kinoma yaani asikwambie mtu,[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni afadhali hujambe wewe lawama zije kihalali kuliko hajambe mwingine usingiziwe ni wewe.
 
Binafsi sijawahi ila nimesingiziwa mara kibao, yaan unakuta umecheal zako mahali kidume uko peke yako umezungukwa na kina dada nini gafla kijambo kinaibuka from no where watu wote macho kwako daaaaaah [emoji27][emoji27][emoji27] inauma kinoma yaani asikwambie mtu,[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni afadhali hujambe wewe lawana zije kihalali kuliko hajambe mwingine usingiziwe ni wewe.
Kwa hiyo mkuu hujawahi kujamba
 
Wakati tupo msingi kuna majamaa walikuwa wanashindana kutoa mashuzi huku sisi wapambe tukishangilia,
punde si punde jemba moja wapo likaachia shuzi lile la Prapatatataaah!

Mchizi pale pale akawa keshajinyea tepe tepe....Nilikula stick plus kumuita mzazi juu (mimi kama mdhamini wa pambano).
 
Siyo wewe mkuu uliyekuwa unatishia kujamba wakati unaharisha

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ulizoa au?
 
Hapana....mkuu kipindi ya miaka ya 90 tulikuwa na michezo ya hovyo sana mashuleni.

Tulikuwa hadi tunashindanisha madushe ukubwa,upana,urefu,power ya kusimama n.k

Hahaha mimi nilikuwa na tabia ya kukaa nyuma (back bench) siku hiyo alikuwepo Mwl wa Hisabati anakokotoa hesabu ubaoni mara darasa likasikia piyuuuuuuuu!

Mwl akasema Jambeni tu maana hii topic bila kujamba hamtaelewa.
Hahahah huyo teacher kiboko
 
Hapana....mkuu kipindi ya miaka ya 90 tulikuwa na michezo ya hovyo sana mashuleni.

Tulikuwa hadi tunashindanisha madushe ukubwa,upana,urefu,power ya kusimama n.k
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]michezo ya kibabe
 
Unajikuta upo sehemu mathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombaga tu isije nitokea icho kwangu ni kama kiama aisee.
 
Hapana....mkuu kipindi ya miaka ya 90 tulikuwa na michezo ya hovyo sana mashuleni.

Tulikuwa hadi tunashindanisha madushe ukubwa,upana,urefu,power ya kusimama n.k
Kuna jamaa yangu tulikuwa na tabia hiyo chuoni walitafuta wenye madushe ikabidi tuitwe P Square.
 
Hahaha mimi nilikuwa na tabia ya kukaa nyuma (back bench) siku hiyo alikuwepo Mwl wa Hisabati anakokotoa hesabu ubaoni mara darasa likasikia piyuuuuuuuu!

Mwl akasema Jambeni tu maana hii topic bila kujamba hamtaelewa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]teacher alikuwa ni noma ilikua logarithm nini mkuu?
 
Back
Top Bottom