Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] long live JF is where we dare to talk openly mkuu usikute ni mzee wako yule?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , unakua mpoleeeuso unabaki hucheki hulii,,,unakua hapo katikati
Ananicheki ninavyo cheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Amen kubwaPoa nawe pia mkuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mtoni hiyo nafikiri ilikuwaHii imenikumbusha tulikuw tunaogelea dogo mmoja kaamua kushusha mzigo/kunya kwenye maji sasa mzigo ukitoka unapanda mgongoni kwake ye hajui tulimpa kipigo kitakatifu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , mbavu zanguu, naimagine hyo sauti ya kijambo ulivoiandika hapoo , mdhamini uliweka dau kubwa kwenye hilo pambano nini,maana si Kwa kujilazimisha huko hao wapambanajii mpk kupuu[emoji3] [emoji3]Wakati tupo msingi kuna majamaa walikuwa wanashindana kutoa mashuzi huku sisi wapambe tukishangilia,
punde si punde jemba moja wapo likaachia shuzi lile la Prapatatataaah!
Mchizi pale pale akawa keshajinyea tepe tepe....Nilikula stick plus kumuita mzazi juu (mimi kama mdhamini wa pambano).
Mzee umenikumbusha jeshini. Kuna manzi wakati wa doso badala asimike akategesha bunango juu, akakaa kama doggystyle flani akidhani anaibia, nikamwambia utatuharibia hewa sasa hv akatemana na mm, hazijapita dk2 akashusha mzigo wa haja kila mtu akasikia.Aisee ni balaa Jeshini ilikuwa MTU akisinziaa anaachia ushuzii balaaa...si mdadaa si mkaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa kiboko duu sasa aliyefuata si alikuwa na wasiwasi na aliyemkuta hapo
Joseph umetia fora.We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tena, unaskia tumbo limepata ahueni,jepesiii, ila sasa hicho kiharufu kitakavochukua mda kuisha mmmh[emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikalale mie
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] noma sanaWakati tuko Secondary kuna dogo mmoja class alibinua kiti ile staili ya kubinua miguu ya mbele ya kiti huku magoti yake yapo yamegusana na meza sasa kijambo kilivyokuja anaangaika kushusha miguu chini kitu kikajipa puuuuuhhh !! Ile anatua miguu chini kikajipa tena puuuuuhh !!! Watu wote class vicheko