Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipeuo nakumbuka shule ya msingi.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]teacher alikuwa ni noma ilikua logarithm nini mkuu?
Hahahhaa ulikuwa unakula chakula gani?Mie nakumbuka nilisha jamba ushuzi zaidi ya bomu la nuclear enzi hizo mpaka mwalimu akaghairi kutoa adhabu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani kipeuo tu mpaka ujambe dadekii
Wala kujamba ni sawa na chafya.Najaribu kuwaza tu itokee kwenye kikao cha baraza la Mawaziri pamoja na jiwe halafu mmoja wa mawaziri ajambe either kwa bahati mbaya kimponyoke au kwa kuvimbiwa zile Karanga wanazopewaga na Jiwe, halafu harufu kali yenye iliyo jaa 'Ukakasi' imfikie Jiwe, anaweza akatumbua mtu hapo hapo!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]jiwe atamtoa Roho mtu mkuuNajaribu kuwaza tu itokee kwenye kikao cha baraza la Mawaziri pamoja na jiwe halafu mmoja wa mawaziri ajambe either kwa bahati mbaya kimponyoke au kwa kuvimbiwa zile Karanga wanazopewaga na Jiwe, halafu harufu kali yenye iliyo jaa 'Ukakasi' imfikie Jiwe, anaweza akatumbua mtu hapo hapo!
Ila noma sana usiombe afadhali hata uswahilini umevaa dela, sasa umepiga pamba yako halafu daa noma[/QUOTE
Kiatu kirefu,,pamba Kali. Pozi kabaoo😂😂😂
Nisije shindwa hata kumuomba Mungu nikawa nacheka tu kwa ajili ya vijamboKwa nini mkuu?
Aya bhana mkuu furaha yangu nikuona kila mtu anafurahi ata kwa yule anaenichukiaNisije shindwa hata kumuomba Mungu nikawa nacheka tu kwa ajili ya vijambo
Haaaaa haaaa jamaniHahaha mimi nilikuwa na tabia ya kukaa nyuma (back bench) siku hiyo alikuwepo Mwl wa Hisabati anakokotoa hesabu ubaoni mara darasa likasikia piyuuuuuuuu!
Mwl akasema Jambeni tu maana hii topic bila kujamba hamtaelewa.
Najaribu kuwaza tu itokee kwenye kikao cha baraza la Mawaziri pamoja na jiwe halafu mmoja wa mawaziri ajambe either kwa bahati mbaya kimponyoke au kwa kuvimbiwa zile Karanga wanazopewaga na Jiwe, halafu harufu kali yenye iliyo jaa 'Ukakasi' imfikie Jiwe, anaweza akatumbua mtu hapo hapo!
Kwakweli uzi huu umenichekesha sana, kama Joseph alivyomwachia paroko mpaka akakimbia mbele ya kitubio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya bhana mkuu furaha yangu nikuona kila mtu anafurahi ata kwa yule anaenichukia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] long live JF is where we dare to talk openly mkuu usikute ni mzee wako yule?Kwakweli uzi huu umenichekesha sana, kama Joseph alivyomwachia paroko mpaka akakimbia mbele ya kitubio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]