Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Nilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aaha uliumbukaaa
 
We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
Haaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiii
 
We acha tu nilikuwa naungama kwa paroko , aliponipa sala ya toba niliachia kishindo cha ajabu chenye harufu ya yai lililooza , akaniambia nenda kwa amani !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa kiboko duu sasa aliyefuata si alikuwa na wasiwasi na aliyemkuta hapo
 
Unajikuta upo sehemu matathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ishawahi kunitokea hii sebuleni, nimeachia cha kimyakimya Mara watu wanakuja humo sebuleni,nilitamani kama wangechelewa chelewa kidogo ili kiharufu kiishe dah,ilikua aibu mnoo
 
Niliwahi jamba katika bus earphones zikiwa masikioni, nilijamba sana,kuja shtuka too late ,mostly of the people walikua wananikodolea macho..
Inamaana ulihis earphone umechomeka kunduni badala ya sikioni au[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,ishawahi kunitokea hii sebuleni, nimeachia cha kimyakimya Mara watu wanakuja humo sebuleni,nilitamani kama wangechelewa chelewa kidogo ili kiharufu kiishe dah,ilikua aibu mnoo
Alafu wakati wa kijambo unajikuta umejiachia kabisa
 
Kwa waliosoma makutupora sec. miaka ya 2000 kipindi hicho mwanamuziki Mh. Temba akiwa pale kama service JKT
hili kwao si uongo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu achaa uongoo
 
[emoji23]aisee hiyo siku sitoisahau
Yaani wewe mie machozi nikikumbuka maparoko zangu walivyokuwa vile hapana
mie ningekuwa nawakimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nimuonapo
 
Back
Top Bottom