Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Mara nyingi nakifinyia kwa ndani itaskika aruf tuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Noma sana alafu kwa nyuma alikuwa na spika kali sana itakuwa huyo teacher
 
Unajikuta upo sehemu matathalani sebuleni halafu ukahisi kujamba, ukiachia ushuzi wa kueleweka kwa kubinua kalio moja. Mara ghafla anatokea mtu anakuja sebuleni kukaa ikiwa ndio harufu ya ushuzi inaenea taratibu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo utatamani upepee haraka ili harufu iishe
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Nilivokua O level kuna siku tunasoma Math sasa tuko back bench jamaa wakaanza kujibizana kwa kujamba kuna boya akajamba hali ikawa mbaya si tukaitwa mistari ya nyuma mitatu tukachapwa afu mbele ya demu ninayemkubali
Kesho yake niko na huyo dem akaanza kunisifia kirafiki chake kikasema "wapi huyo anajamba darasani" nilitamani nikiue
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sijawahi na siombia inikute,
Teacher wetu wa history O level aliacha kazi baada ya kujamba darasani mbele ya kadamnasi.....alitimua mbio sijawahi ona binadamu anakimbia kama yule.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu achaa uongoo
 
Back
Top Bottom