Wao wanadhani eti mie huwa naenda baharini kuogelea na tatizo langu ni kuwa sionagi taabu kutembea ufukweni hata usiku na hicho ndicho wao wana wasiwasi nacho
Wakawa wanasisitiza kuwa tena usiku ndiyo mambo mengi zaidi hutokea baharini kuliko wakati mwingine wowote ila tu mimi mbishi yaani wakiongea leo kesho tena naenda
Btw kama ni hayo mapori unayosemea basi nimeyaelewa yale hata mie ni mpenzi sana ila tu kusiwe na wanyama japo pia porini siwezi kutembea usiku hata kama hakuna wanyama
Sometimes huwa nayatafakari sana maisha yangu na huwa najiuliza sijui kama niko sahihi au nakosea kuishi hivi maana kuna muda huwa natamani niwe extrovert ila nashindwa
Sent using
Jamii Forums mobile app