[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Okey.
yea Bila furaha hakuna kitu .Hata mie maji nayaogopa na funny thing is ni kwamba hata kuogelea sijui ila napenda tu kukaa sehemu zenye fukwe kuitazama bahari huku nikisikiliza muziki taratibu
Mie misitu siyo sana baada ya bahari kinachofuata ni milima napenda sana milima hasa ile ambayo ni evergreen na unaweza ukaifanyia hiking bila tatizo
Aise nimegundua kumbe introverts tuna many common characteristics
But at the end of the day ni kama ulivyosema happiness is the key
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ipo siku urafiki wetu utakufa?! Sitaki kuamini hivyo jamani, yaani sitaki kuamini!Huwa hakuna urafiki wa kudumu...
Watu huwa marafiki kwa sababu mmojawapo au wote kuna vitu/kitu hufaidika toka kwa mwingine...
Kusipokuwa na vitu vya faida na urafiki huishia hapo...
Safi..Ujue umenifanya now namuangalia moana hapa
Si mlivyokua mnaisifia hapa.. kuna nyimbo hua nazipenda.. nimeipeleka mbele hadi kwa Tamatoa.. yuko anaimba shiny[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we naye kila siku mie ndiyo nakufanya uangalie moana
Sent using Jamii Forums mobile app
We chalii[emoji7][emoji7][emoji7]
mkuu kwemaBinafsi ninahisi nina Phobia ya kuogopa kua attached kwa mtu fulani, Maana najua tu mwanzo atanionyesha wema na upendo ila mwisho ndio atanionyesha upande wake wa shillingi..mmhh
Ila wanasema maisha ni kutake risk, if you can't take you loose a chance
Eti hata kwa kiraka hafai duh [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa upande wangu mtu akinionesha upendo nami namuonesha upendo, tena mara dufu...Ila nikiona chenga, kabadilika huwa ni mwepesi sana wa kutupa kule..Tena namtoa kabisa hata kwa kiraka hanifai.
kuondoka bila sababu kumbe sio kwangu tu[emoji23]Nina tatizo moja, naamini katika upendo! Akiondoka basi hakuwahi nipenda, awe mpenzi au rafiki! Hasa wale wanaoondoka bila sababu!
yea Bila furaha hakuna kitu .
sasa kama huogelei wanakukataza nini?
mimi hata nikikaa hivi namiss kutembea porini japo sipendi wanyama napenda tu kuona mapori kama wenzetu mbele huko wanavyoitengeneza misitu mpaka unaona raha kuitazama
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mlivyokua mnaisifia hapa.. kuna nyimbo hua nazipenda.. nimeipeleka mbele hadi kwa Tamatoa.. yuko anaimba shiny
inawezekana kuwa extrovert ila sio 100%Wao wanadhani eti mie huwa naenda baharini kuogelea na tatizo langu ni kuwa sionagi taabu kutembea ufukweni hata usiku na hicho ndicho wao wana wasiwasi nacho
Wakawa wanasisitiza kuwa tena usiku ndiyo mambo mengi zaidi hutokea baharini kuliko wakati mwingine wowote ila tu mimi mbishi yaani wakiongea leo kesho tena naenda
Btw kama ni hayo mapori unayosemea basi nimeyaelewa yale hata mie ni mpenzi sana ila tu kusiwe na wanyama japo pia porini siwezi kutembea usiku hata kama hakuna wanyama
Sometimes huwa nayatafakari sana maisha yangu na huwa najiuliza sijui kama niko sahihi au nakosea kuishi hivi maana kuna muda huwa natamani niwe extrovert ila nashindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wewe
Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki
nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki
mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui
yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha
kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine
akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi
kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi
mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote
watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana
ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile
ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
Iko kila mahali dear, rafiki anaamua kukaa wiki hajakusemesha mimi huwa nawaacha waende kwa kweli