Napenda pia ufukwe wa bahari , i do love swimming ila uoga unanisumbua .
Sent using Jamii Forums mobile app
nilidhani pekeyangu. kama haipo haipo tu[emoji23]
bro wangu mimi anavyojiskia lakini ni mtu wa watu mno , hatumii nguvu kabisa watu wanamfata wenyewe.Sijuu ndio tatizo nyota[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nawaambiaga hata wana familia jamani tatizo nyota mimi hata nijipendekezeje unaambulia 0 [emoji23]Hahah halafu hata mie huwa nahisi tatizo ni nyota tu,, kaka yako ni extrovert by nature..
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini mkuuMbona mie nakupenda? ?
Yeah hata mie natamani sana nijue kuogelea ila naogopa hasa kwenye maji marefu,, halafu hata hivyo baharini siwezi nikaogelea hata ningekuwa expert kiasi gani wa kuogelea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa boss.. Not every loss is a loss.. "Sometimes not getting what you want is the stroke kind of luck"Injili ya Gheto, Yeah Exactly!! Hivyo ndivyo itavyotakiwaaaaa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nawaambiaga hata wana familia jamani tatizo nyota mimi hata nijipendekezeje unaambulia 0 [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna nilijaribu nilishindwa niliona nakufa yaani coz nilienda kwny kina zaidi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda maalumu haukujifunza kuogeleaYaani kuna nilijaribu nilishindwa niliona nakufa yaani coz nilienda kwny kina zaidi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha maji marefu yanahitaji uzoefu,, mie kwenye maji mafupi angalau naweza kuogelea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda maalumu haukujifunza kuogelea
Nilijua watoka kanda maalumu.. karibu ziwa Duruti nikufunze