Bastard how's yosi entertain
naongea ninavyovi-experience
haimaanishi kwamba maisha yangu hayaendi kwa ajili hio..
ila nmekubaliana na hali kwamba ndo iko ivyo siumizi kichwa kutaka kubadili ukweli maana haubadiliki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kingereza hiki cha st kayumba mkuu.. nisamehe tu
Tushee experience mkuu..Nimejikuta nauchagua huu uzi kuwa bora kwangu kwa mwaka huu, kuna mengi ya kujifunza na wengi wameongea vilivyo vya kweli, chai kama zipo ni kidogo sana.
Sijui ilikuwaje sikuuona mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app