Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Single man of jamiiforums, how is your Valentine's day?Paula Paul
Napenda sana mvua.I don't know. Maana mvua kubwa inanyesha leo toka usiku..
Naomba nitumie siku ya leo na mchumba
Hiyo sasa inakuwa ni saa 0600. Yeye ni hadi saa 1900 ambayo ni 0800.Ndo mpaka saa 17..
Nitamsubiria, usinidanganye tu
Haka kanapenda kula. Inabidi umpeleke tuu kwenye vyakula[emoji4]Looh sijui ata tutaenda wapi maana mmhhh..
Labda nipae, ila ningependa Kuangalia Opera music pamoja
Hapo mngeenda sawa.Napenda muziki wa live..Tungeangali huku tunakula[emoji85][emoji85] Kila mtu apate burudani!
Can't to see her
Inaonekana unajua kukaa na watoto na kucheza nao.Bado. Ila wadogo zangu wengi wamekulia mikononi mwangu..Vile naachiwa wazazi wanaondoka mihangaiko
Hujakosea.. Napenda sana na napendwa sana na watoto..Inaonekana unajua kukaa na watoto na kucheza nao.
Sijui kwanini napata hizi feelings.
safi kbsa hmn uwepesi wa maisha namn hyo. upate furaha kiholela tyu neverNa ukiyafuata utaishia kuwa mpweke siku zote.
Maana kitu kizuri chochote lazima ukitolee jasho, ukisubiri cha kujileta chenyewe bila kuvuja jasho, ndio kitakuja, lakini sio kile ulichokitaka. Na wala hakiwezi kukupa furaha.
Everyone needs someone to belong toNI NGUMU KUSIMAMA MUDA MREFU KATIKA HALI YA UPWEKE...HATA MUNGU HILO ALILIONA TOKA ENZI ZA MWANZO WA ULIMWENGU KWA ADAMU...NDIO MANA AKAWEKA RADHA YA URAFIKI NA MAPENZI ILI MWANADAMU AIONJE NA AIFURAHIE IPASAVYO....KAMA UPO TIMAMU AU IMARA HUWEZI KUVUMILIA UPWEKE KWA MUDA MREFU.....EVERYONE NEEDS FRIENDSHIP!!
Mkuu vingi vimeandikwa humu vimenigusa moja kwa moja, ni sawa na mtu anayejiangalia kwenye kioo, nimeona taswira yangu kupitia uzi huu. Umenipa nguvu za kutosha kuendelea kupambana kutafuta pesa tu, vingine vitafata baadae.Tushee experience mkuu..
Hukuuona mapema ili ukute michango yenye kukufunza mingi...
Ahsante Rafiki.. Happy Valentine to you.Makiseo
Thanks for the love