Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kuna wakati nilikuwa depressed mbaya,wakati ambao nilikuwa na uhitaji wa kampani kuliko wakati wowote,na mtu ambaye nilidhani angeweza kuwa mtu wa mwisho mwisho kuondoka, aliondoka.siwezi sahau,alivyoaga nilimuuliza "unaweza baki kwa muda mfupi tu,kipindi hiki kipite".alichonijibu dah,kama Mungu atajaalia basi afanye tu nisionane nae tena.
Hizi tabia za kulazimisha mtu abaki na wewe hata kama hataki ndo vile mwisho wa siku unakua mtu wa kuhuzunika kila siku kwa sababu vitimbi haviishi.Cha muhimu ni kuvumilia tu na kutotegemea,kutoamini katika binadamu.
 
NI NGUMU KUSIMAMA MUDA MREFU KATIKA HALI YA UPWEKE...HATA MUNGU HILO ALILIONA TOKA ENZI ZA MWANZO WA ULIMWENGU KWA ADAMU...NDIO MANA AKAWEKA RADHA YA URAFIKI NA MAPENZI ILI MWANADAMU AIONJE NA AIFURAHIE IPASAVYO....KAMA UPO TIMAMU AU IMARA HUWEZI KUVUMILIA UPWEKE KWA MUDA MREFU.....EVERYONE NEEDS FRIENDSHIP!!
 
Na ukiyafuata utaishia kuwa mpweke siku zote.
Maana kitu kizuri chochote lazima ukitolee jasho, ukisubiri cha kujileta chenyewe bila kuvuja jasho, ndio kitakuja, lakini sio kile ulichokitaka. Na wala hakiwezi kukupa furaha.
safi kbsa hmn uwepesi wa maisha namn hyo. upate furaha kiholela tyu never
 
NI NGUMU KUSIMAMA MUDA MREFU KATIKA HALI YA UPWEKE...HATA MUNGU HILO ALILIONA TOKA ENZI ZA MWANZO WA ULIMWENGU KWA ADAMU...NDIO MANA AKAWEKA RADHA YA URAFIKI NA MAPENZI ILI MWANADAMU AIONJE NA AIFURAHIE IPASAVYO....KAMA UPO TIMAMU AU IMARA HUWEZI KUVUMILIA UPWEKE KWA MUDA MREFU.....EVERYONE NEEDS FRIENDSHIP!!
Everyone needs someone to belong to
 
Tushee experience mkuu..
Hukuuona mapema ili ukute michango yenye kukufunza mingi...
Mkuu vingi vimeandikwa humu vimenigusa moja kwa moja, ni sawa na mtu anayejiangalia kwenye kioo, nimeona taswira yangu kupitia uzi huu. Umenipa nguvu za kutosha kuendelea kupambana kutafuta pesa tu, vingine vitafata baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom