Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kama ushazi changa changa vya kutosha basi inatosha .Mambo mengine achana nayo..ukiwa na hela inatosha sanaa..kama huna mzee kazana kuzitafuta ma friend watakuja wenyewe tu.
Bado bado sijazichanga.. si unsjua ka umri bado
 
Da'Vinci, Kunamdada mmoja ambae tulkuw wapenz tukagombana sasa baadae tukapatana tena lakn akawa ananitafuta mara kwa mara japo baadae alisema tuwe marafk mm nkagoma, lakn anapga tu sim namm sometime napga japo namba yang amesha futa,

tukaendelea kuwa tunatafutana na mm kiukweli nilkuw nahisia nae lakn sometime unaweza mpgia asipokee na mm nkipga mara moja tu asipokee sirudii, sasa ikawa tukigombana nikionesha kurudi nayeye anaanza kupga mara kwa mara nmesha shindwa kumuelewa kiukwel sijui nimteme tu! Maana ananiletea jam tukigombana mpk mm nirud ndio nayy aanze kunitafuta nakunishirikisha mambo yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom