Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Umeongea vyema sn mkuu
 
Nimekuelewa sana mkuu, I wish nigekuwa na courage hiyo hiyo.... yan furaha yangu nimeeka kwa mtu nkitegemea atanipa furaha lakini wap naishia kupata maumivu kila siku nataman kutoka lakini nashindwa
 
Mkuu nimekuelewa sana.. Tutafute hela tu. Stress nyingi ni ajili ya kutokua na pesa. Wapenzi na marafiki tutawapata wengi tukiwa na pesa.
kwanza nikiwa na pesa sitahitaji rafiki
 
Kaka nmekuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…