sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
[emoji23][emoji23] hakuna cha dawa hapa,kama unaenjoy kuwa ktk situation ya hivyo dawa ya kazi gani?,haya ni maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mwenyekiti wa introvets?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] hakuna cha dawa hapa,kama unaenjoy kuwa ktk situation ya hivyo dawa ya kazi gani?,haya ni maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo okHow about you
Karibu sana.Lol Ahsante kwa kuwa wa kwanza kuni wish.
Nimefurahi mno
Am alone but am not happyBe Alone..but Happy
TakiiiiNjoo nikupe furaha
Maskini jeuri
Watu wanashindwa kuelewa unapokuwa kwenye uhusiano sio kwamba mtu wako atakuwa na mood ile ile kila siku lazima kuna siku atabadilika sasa hii kubalila watu wengine huitafsiri tofauti kuwa ameanza kunichoka
Cha msingi ni kweli usiwekeze furaha yako kwa mtu au kitu tujifunze kuepuka attachments
Kuna vitu vingi vya kufanya unaweza kuamua ku fall in love na nature, wewe unakuwa mtu wa kupenda nature tunaona wazungu wanasafiri kutoka ulaya kuja kwenye mbuga zetu kujaribu kuji attach na nature maana nature haiwezi kukuchoka
Vitu kama meditation zinasaidia sana kuliko kuwekeza furaha yako kwa mtu au vitu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimekuelewa sana mkuu, I wish nigekuwa na courage hiyo hiyo.... yan furaha yangu nimeeka kwa mtu nkitegemea atanipa furaha lakini wap naishia kupata maumivu kila siku nataman kutoka lakini nashindwaKwa upande wa marafiki.
Wakati nasoma kipindi hicho, nilikua na rafiki yangu ambaye nilikua namjali sana, tulikua tunaishi wote nyumba yetu hii ya kwao inafuata mbele,
Huyu rafiki tukifika nyumbani ni marafiki wakubwa tu, ila tukifika shule urafiki hakuna tena anakuona huna maana tena, anakuwa na marafiki zake wengine.
kipindi cha utoto nilidhani sitoweza kusurvive peke yangu bila ya mtu yoyote pembeni,
Ila nikaja gundua kwamba mtu ukimjali sana anakuona huna maana, anajua wewe huna cha kufanya bila ya yeye, lazima akuendeshe, lazima akudharau, lazima akupuuze.
Nilichokifanya nikajijengea msimamo kwamba "naweza kufanya chochote bila ya yoyote, yaani mimi na akili yangu tu nitaweza kufanya chochote kile" nikaanza kujiamini, japo nilitambua haitokua rahisi.(na ni kweli haikuwa rahisi)
*Nilianza kujipenda mwenyewe kwamba mimi ni wa muhimu kuliko yoyote yule mimi ni wathamani sana, sitokuja kujidharau tena, so haitotokea tena niumie sababu ya mtu mwingine
*nitafanya kila njia nipate Amani/furaha na Nitafanya kila njia furaha/amani yangu isipotee (japo sio rahisi pia)
*Sitosikiliza yoyote na hakuna atakaye badirisha msimamo wangu, sababu binadamu wengi ni wanafiki.
*Familia yangu ndio marafiki pekee wa kweli japo kila mtu yuko mbali na yake.
Na mpaka leo sijabadirika sina rafiki wa kweli zaidi ya salamu kila mtu na yake,
Hata wale niliosoma nao wachache ndio huwa tunaongea kwa bahati mbaya mwaka mara 1.
Maisha yangu ni
Job
Movies
Music
Books
Games
TV shows nk au kushinda kwenye magroup ya introverts wenzangu.
Unaweza dhani mimi ni alien ila ndio maisha yangu na hakuna kilichoaribika, na mambo ya kuumizana nilishayasahau,na furaha muda wote ipo nami, na sina mpango wa kuishi kama binadamu wengine, nikaishia kuumia tu.
Kiufupi haitokuja kutokea hiyo kitu.
Mtanisamehe kwa Uzi mrefu.
"Magic is believing in yourself if you can do that, you can make anything happen".
Mkuu nimekuelewa sana.. Tutafute hela tu. Stress nyingi ni ajili ya kutokua na pesa. Wapenzi na marafiki tutawapata wengi tukiwa na pesa.We meet real people na wa maana when we keep up harakati za kujiweka sawa kimaisha.
Kwenye harakati za kutoboa ndio huwa tunakutana na watu wa kuishi nao na kufa pamoja as frnds or lovers etc..We dont have to request or cry for frndships or relationships..
Uhusiano hau ombwi wala kubembelezwa..Kaa kwenye proper channel then u wl meet right companies..TUTAFUTE MAISHAA.
Njoo nikupokee mkuuEeeeeh Mungu aniepushe kwenye hili sitaki ijirudie Tena, yaaani nusu niharibike physiological. Sitaki hata kukumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wa marafiki.