Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Jiongeze mzee uende pm, love start by hate. Hate start by love

kwa bahati nzuri zaidi nina mke na watoto 6 tena mtoto wangu wa kwanza kijana yuko form 5 anamiaka 17 afu sinaga tamaa na wanawake mimi mana hakuna jipya nisilolijuwa kwa mwanamke....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwaiyo siwezi kwenda pm wala nn mm na yy tumemalizana hapa hapa...
 
Watoto 6 sio kigezo cha kutokua na wengine nje hata uwe vipi. Nadhani unasema tu kwakua upo jf ila mwanaume ji mwabume
 
You're totally introvert BlueG
Unaweza kupita hapa..
Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka
Luckily introvert wote hua brainy and well creative Umenijibu ahsante bro!!
Vipi lakini ukiwa kwenye harakati za kumove On. Ukiona vitu vinavyokumbusha mtu huyo au kukumbuka moment ulizokua nae don't they trigger penzi lenu hilo?
Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?
 
dah mkuu asante kwa kunijuza maanake i never knew where i lie, i never knew what my personality really is,

hivi mkuu kuna namna ya kujitoa huko? au kufanya mazoezi ili kuwa both au kuabandon the intro thing to the extro?

oh nafurahi kama nimekujibu kaka,

Napoona vitu au kukumbuka mambo yanayonikumbusha mtu huyo,kiukweli kabisa inanikumbusha mengi plus moments za kummiss huyo mtu,wakati mwingine ni mimi mwenyewe ambaye huwa naamua kutafuta tafuta say picha zake (hasaaa picha) just to see the person,kwenye hatua za awali kuona chchote kinachonikumbushia mtu huyo hunipa stress na hisia za kummiss sana huyo mtu,ila kwa kuwa tumeshafikia mahali ambako there is no return,basi huwa naishia hivyo hivyo tu wala hainisukumi kurudisha upya what we had,kisha nikishazoea hata nione nini naona kawaida tu nakumbuka tu we once had a thing basi Maisha yanasonga mbele,(hii ni hasa kwa mtu aliye mbali nami,ila kwa aliye karibu na mi kila wakati kwa kweli ni changamoto nzito kumoveon,hasa unapoona ye anamove on with someone else,kwa hii nyingine mkuu kiukweli inachukua muda sana kumove on,sema ndo siwezagi kumlazimisha mtu abaki kwangu,huwa nabakia na maumivu yangu moyoni basi)

Sema mkuu kuna ishu nyingine huwa ninayo,sijui ntakuwa nina shida gani au ndo one of the intro traits?

yaani mkuu ni hivi mimi nikikuamini nimekuamini,sasa ishu inakuja pale trust inapovunjika kwa namna yoyote ile,tuseme sisi ni marafiki sana,au tuko tu karibu au hata wapenzi,basi ukinioneshea say dharau Fulani au kitu chochote kinachonifanya nitilie shaka loyalty yako kwangu,mkuu hata tukirudiana au ukaomba yaishe au ukajirudi by any means,trust me mkuu i will never be the same with you again,sawa tutakuwa close tena lakini i always be cautios with you,sintokaa niwe comfortable na wewe kama ambavyo nilikuwa hapo awali,hata nijitahidi vipi siwezagi kamwe mkuu,nini inaweza ikawa mbaya mkuu?
 
Hongera na pole mkuu.
Kuhusu suala lako ilo la aya ya mwisho wala usijione ovyo kabisa. Ndio nafsi yako inavyojitahidi kuulinda roho yako ili usiumizwe tena. It's obviously nafsi inapoona roho imeumizwa basi hutengeneza defense mechanism ya kutokuumizwa na mtu huyo kwa kutokumuamini tena. So don't feel vibaya kabisa juu ya hilo ni kwa faida ya uhai na furaha yako
 
Never beg to be Loved plsss
 
Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.
Unaakili sana ukimpenda mtu huwezi kubali kumwacha kirahisi hisi labda Kama ulikua humpendi- kukubali unakubali Ila sio kirahisi
 
Don't worry, J is probably fine and moved on.
 
Kiongozi untaka kuchukua points za mezani[emoji3][/QUOTE
Hapana mkuu Mimi pia ni introvert kama wewe hahahaaaa....si unajua "Sie" ma introvert tunataka mpk watupende wenyewe

Hahaaa
It's easy Sunday....
(Edited)
 
The heart only want what it wants.
 
Trust me it was horrible experience but as they say time is the best healer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…