Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Woooow hongera Sana mkuu,
 
Stop texting first.. to see how many people care for you
Mi nilikuwa na huu wehu. Friendship sijui mapenzi unayashikilia kama aorta.
Simu uanze wewe
Text uanze wewe
Chats uanze wewe.
So nikaamua hivi.
Kujiondolea kiherehere.
NAFUTA NAMBA YA MTU nayekuwa nimeona huwa lazima nianze mimi.
Nikifuta nahesabu masaa,Dk,Siku, wiki, mwezi.
Inakuwa inaumiza sana hicho kipindi, na since najua inauma, ndo mana najiwahi kwa kuondoa uwezekano wa kumpata.
Number delete, means nampa nafasi ya kufight for it if it means anything.

Mostly huwa hawavuki hii.
Kuna watu if you dont text,call or start the chatting hawakukumbuki unaexist aiseeh.
Kwa kuacha kuwa wa kwanza kutuma ujumbe, ni kujishushua kuwa umuhimu unaotoa sio unaopewa.
It's just kwa kuwa umeanza,usipoanza haupo tu.
Ni ngumu ila inasaidia mnonkujua where you stand.
Na wengi huanguka mno kwenye huu mstari
Na ndo inakuwa historia hivo.
By the time unakumbuka ah mi saaaa nyiiiiing.
 
Kuchelewa kureply je???
Sio muhanga wa kutokutextiwa au kutokujibiwa coz sina namba nyingi. Zilizopo ni watu ambao huwezi kuchat nao. Nina ugonjwa wa kufuta namba hii naona inaniathiri sasa
Mara zote mi hufikiria mema, until inapokuwa Tabia.
So ntakusaidia mpk sababu za kwann umechelewa kujibu.
Ubize, hujaona, huna crdt, huna mbs.

Saaasa hii huwaga pia haina muda mrefu, nayo hugoma.
Ndo hapo sasa pa next step ya detaching.
Number delete.
 

Hongera mkuu
 
Najihisi kuna mahali siko poa.
Naweza kuwa na rafiki ambaye urafiki wetu uko moto halafu ghafla akabadilika, yaani akaenda beyond from normal.
Sijui nakosea wapi. So nikikutana na watu wapya huwa nakaa kwa tahadhari nikijiambia one day atabadilika.
 
Kiukweli mimi siyo mtu wa kupambana sana kudumisha urafiki ama mapenzi, nashukuru akili zangu ziko fyatu kiasi chake so nikishaona dalili natema maneno mazito (sio matusi) ambayo nakuwa na uhakika kwamba yatamfanya anikumbuke siku zote za maisha yake then baada ya hapo nasepa kwa kasi ya 240km/h.

Lakini pia siwezi kuwa mwonho kuwa kuna kipindi nilifight sana kujaribu kumbakisha mtu fulani katika maisha yangu ila nikafeli, kuanzia siku hiyo nikaacha hiyo tabia.


Leo yenyewe nimetoka kufungasha virago sehemu. Najipenda sana mimi maana hakuna mimi mwingine.
 
Utajijua kua umependa umekufa kuoza pale unayempenda anakuumiza lakini bado unaendelea kukomaa nae asiondoke
 
duuh hii mambo ya kupenda kupitiliza ndo ubaya wake huu binafsi sifanyi huu undezi dadek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…