Stop texting first.. to see how many people care for you
Mi nilikuwa na huu wehu. Friendship sijui mapenzi unayashikilia kama aorta.
Simu uanze wewe
Text uanze wewe
Chats uanze wewe.
So nikaamua hivi.
Kujiondolea kiherehere.
NAFUTA NAMBA YA MTU nayekuwa nimeona huwa lazima nianze mimi.
Nikifuta nahesabu masaa,Dk,Siku, wiki, mwezi.
Inakuwa inaumiza sana hicho kipindi, na since najua inauma, ndo mana najiwahi kwa kuondoa uwezekano wa kumpata.
Number delete, means nampa nafasi ya kufight for it if it means anything.
Mostly huwa hawavuki hii.
Kuna watu if you dont text,call or start the chatting hawakukumbuki unaexist aiseeh.
Kwa kuacha kuwa wa kwanza kutuma ujumbe, ni kujishushua kuwa umuhimu unaotoa sio unaopewa.
It's just kwa kuwa umeanza,usipoanza haupo tu.
Ni ngumu ila inasaidia mnonkujua where you stand.
Na wengi huanguka mno kwenye huu mstari
Na ndo inakuwa historia hivo.
By the time unakumbuka ah mi saaaa nyiiiiing.