Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Absolutely, pana kitu nimejifunza, obvious God knows everything about us
 
Niseme tu jambo moja, wewe jamaa una akili nyingi sana.

Sent using Samsung J1
 

Nimekupendaa bureee
 
Na ukiyafuata utaishia kuwa mpweke siku zote.
Maana kitu kizuri chochote lazima ukitolee jasho, ukisubiri cha kujileta chenyewe bila kuvuja jasho, ndio kitakuja, lakini sio kile ulichokitaka. Na wala hakiwezi kukupa furaha.
sometimes ni bora kuwa mpweke kuliko kutegemea furaha kutoka kwa mwanadamu.


maybe am not destined to be loved
 
Tumedumu yapata miezi 5 lakini hisia zangu juu yake zilikuwa za kweli hasa, nilimpenda na nilimhitahi sana binti mmoja. kuna kipindi niliwahi kutia mashaka Jinsi ya alivyonitazama kama hisia zake zilikuwa zina ukweli ndani yake, nilijitahidi kumjali na kumtunza kwa kadri nilivyoweza, nilijipa tumaini kubwa sana juu yake angekuwa msaidizi wangu baada ya miaka 2 au 3 toka sasa. Lakini toka Mwezi December alibadirika sana, mawasiliano yalikuwa changamoto lakini Upendo wangu kwake ulinipofusha kiasi cha kutotilia maanani dalili ambazo si nzuri, Hatimaye Binti kanieleza ukweli juu ya safari yetu, kapokea Maono kuwa mimi sio mtu sahihi kwake kwamba Sisi ni watu Madhehebu tofauti na hivyo uhusiano wetu haumpendezi Mungu, napitia wakati mgumu wa kuponya majeraha ya hisia nilizokuwa nazo juu yake. Wasiwasi wangu najiona jinsi nitakavyokuwa Muoga kuingia katika uhusiano mwengine, nafasi ya kuwaamini wanadamu inazidi kupungua kwangu na sioni ambaye naweza kuja kumuamini kirahisi, labda na Mimi nipate ufunuo wa Mungu juu ya Watu husika.
inaumiza
 
Wanaume huwa hatulilii mapenzi Bob.
 
Uzi safi
 
Mind should be stronger than feeling....[emoji123][emoji123]
 
My humble personage bow before JF member's grandeur..No other memeber (in MMU) has ever the might neither nobility to wield not 100 Likes but 120Likes.The honor lies in my grasp.

#ThanksJF
 
Mkuu upo form ngapi au chuo mwaka wa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…