Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
-
- #941
Tafadhali tupe stori jinsi Mary alivyouchuna moyo wako Mkuu.Yaani mkuu Baba hujakosea! kabisaaa!! yalinichapa na nikachapika ! kamupenzi kangu Mary! haka kalinichapa mpaka leo ni kamke kangu nakapenda weweeee! hee! na la pili ni Mshua! yaani huyu bana alikuwa kauzu!!!
Hali ilikuwa mbaya zaidi alipooa!! kamke ka pili eliza!! kabisa anakuona ka nyau vile!!! uende shule usiende utajiju ukitaka posho ya kalamu au chochote kinacho husiana na shule utayamba cheche!!
akikupatia hako ka mpunga anakutupia chini !!! ka dogi!! sasa uokote au uache! na hajali km umeona au hujaona! pamoja na hayo yoote!! kwa Elimu yangu! nilimpiga usajili! kunako Biashara zake, bila mimi mambo yake hayaendi vinginevyo atumie hela ndefu, na masimango ili kupata usajili! bado nampenda sana! usisahahu ''ADUI MPENDE''
Hua natamani nami hii initokea nijue uchungu halisi wa kuumizwa na Ke upoje