This is me kabisa....sema mimi naweza manage mazungumzo kiasi chake nikachangamsha watu alafu ghafla nakaa kimya jumlaMy true story...[emoji22][emoji22]
View attachment 2041634
Pole sana kiongozi maisha ndio yalivyo, nature haitupatii vile tunavyotamani na kuhitaji bali inatupatia vile vitufaavyo. Shida moyo hua haukubali huu ukweli wenyewe unajali umemoenda fulai haijalishi ndio anakufaa au hakufai .Mkuu nilikuwa na malengo nae huyu binti na ni one of the best woman kati ya niliowahi waona....
Ila kutokana na umbali, nilivyorudi likizo fulani nikakuta anaolewa na kama hiyo haitoshi alikuwa na mtoto mmoja a baby boy.....
Sema inauma na kuchanganya kweli huwezi pata kila kitu kwenye maisha, ukitafuta pesa utapata ila yule aliefamya utafute atakuwa mbali huko...unabaki jifariji na meterial things.
Life goes on mate, niko namsikiliza Pac hapa naona mistari yake inaendana nasi..This is me kabisa....sema mimi naweza manage mazungumzo kiasi chake nikachangamsha watu alafu ghafla nakaa kimya jumla
| Bury me smiling with G's in my pocket Have a party at my funeral, let every rapper rock it Let the hoes that I used to know From way before kiss me from my head to my toe Give me a paper and a pen so I can write about my life of sin A couple bottles of gin in case I don't get in Tell all my people I'm a Ridah Nobody cries when we die, we outlaws, let me ride Until I get free, I live my life in the fast lane |
Hongera sana kwa kupata kampani toka kwa mkeo, Kwakweli siku nikibahatika kupata mpenzi basi ndio itakua mara ya mwisho kutumia JF.Hii mada inatugusa [emoji817]% nilikuwa nina washikaji fulan nilijitahidi sana kuwaweka karibu lakini ikafika wakat nikachoka nikajisemea kwani bila hawa watu maisha yangu ndio basi but tangu kipindi hicho sina mda na mtu mpk leo namshukuru mungu mke wangu ananipa kampan kubwa sana ila shobo sio nzuri wananzengo
Huyu ni mm kabisaKwa upande wa marafiki.
Wakati nasoma kipindi hicho, nilikua na rafiki yangu ambaye nilikua namjali sana, tulikua tunaishi wote nyumba yetu hii ya kwao inafuata mbele,
Huyu rafiki tukifika nyumbani ni marafiki wakubwa tu, ila tukifika shule urafiki hakuna tena anakuona huna maana tena, anakuwa na marafiki zake wengine.
kipindi cha utoto nilidhani sitoweza kusurvive peke yangu bila ya mtu yoyote pembeni,
Ila nikaja gundua kwamba mtu ukimjali sana anakuona huna maana, anajua wewe huna cha kufanya bila ya yeye, lazima akuendeshe, lazima akudharau, lazima akupuuze.
Nilichokifanya nikajijengea msimamo kwamba "naweza kufanya chochote bila ya yoyote, yaani mimi na akili yangu tu nitaweza kufanya chochote kile" nikaanza kujiamini, japo nilitambua haitokua rahisi.(na ni kweli haikuwa rahisi)
*Nilianza kujipenda mwenyewe kwamba mimi ni wa muhimu kuliko yoyote yule mimi ni wathamani sana, sitokuja kujidharau tena, so haitotokea tena niumie sababu ya mtu mwingine
*nitafanya kila njia nipate Amani/furaha na Nitafanya kila njia furaha/amani yangu isipotee (japo sio rahisi pia)
*Sitosikiliza yoyote na hakuna atakaye badirisha msimamo wangu, sababu binadamu wengi ni wanafiki.
*Familia yangu ndio marafiki pekee wa kweli japo kila mtu yuko mbali na yake.
Na mpaka leo sijabadirika sina rafiki wa kweli zaidi ya salamu kila mtu na yake,
Hata wale niliosoma nao wachache ndio huwa tunaongea kwa bahati mbaya mwaka mara 1.
Maisha yangu ni
Job
Movies
Music
Books
Games
TV shows nk au kushinda kwenye magroup ya introverts wenzangu.
Unaweza dhani mimi ni alien ila ndio maisha yangu na hakuna kilichoaribika, na mambo ya kuumizana nilishayasahau,na furaha muda wote ipo nami, na sina mpango wa kuishi kama binadamu wengine, nikaishia kuumia tu.
Kiufupi haitokuja kutokea hiyo kitu.
Mtanisamehe kwa Uzi mrefu.
"Magic is believing in yourself if you can do that, you can make anything happen".
Pole mwaya kwa yaliyokukuta. Ndio maisha hayo coz tunadeal na wanadamu ambao tunamapungufu yetu.hii mada imeniponya kwa kiasi kikubwa mnoo, nliingia kwny mahusiano na jamaa mmoja. Nlijikuta tu nampenda saaana, sku moja nikamuuliza je; uhusiano tulio nao unalenga kufka wap? Yaan hatma ya mahusiano yetu n nn?? Loooh! Mpk leo smuoni hahaha swali hilo tu limemkimbiza.
sjui alitaka kunipotezea muda mtt wa wenyewe, ingawa nlimpenda mnoo kwakuwa anaroho njema mnoo. Lkn nyuma ya pazia alikuwa ana makando kando yake mazto tu. Fkiria mtu ana miaka 37 anawatoto wqwil kila moja na mama yake na bado anakula ujana
Pole mwaya kwa yaliyokukuta. Ndio maisha hayo coz tunadeal na wanadamu ambao tunamapungufu yetu.
Btw naamini ninaroho njema pia, Kama hutajali tafadhali. I'm not taking advantage of you
Wanaume hatuna gubu midomo yenu tu, mimi sijui kujibizana. Ni kipigo tu utajibizana nacho😅😅huko n wapi?
huyu n mtu wa bara(mara huko), yy na mkewe n kabila moja wanasemana kilugha mwshoni mume ustahimilivu unamshnda anaanza kuongea kiswahili🤣🤣🤣🤣. wananipaga mawazo juu ya me mume wangu awe na gubu ka' hilo looh!
Mimi siwezi kukuambia nakupiga utashtukizia tu unaona nyota nyota. Wanaume wa dar ndio hutoa hizo ahadi kua nitakuchapa, Luckily I'm not aggressive Napenda kumaliza tofauti zangu kwa njia ya amani. Ila mwanamke usipomuonyes Masculinity n aggression hua anaona mwanaume kama shosti wakeme sku napigwa ndyo sku narud kwetu, hakuna kitu naogopa kama kupigwa uwiiii! Yaaan mtu ukiniambia tu utanipiga bas nakosa amani, naweza umwa ghafla.