Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

The woman' that can be bought is not worth having.
Jali utu wako na jithamini✌️
 
Hello and Merry Christmas to all lonely Soul around the globe.
Mmepangaje kusherehekea sikukuu Hii ya Christmas?? Binafsi nilipanga siku ya leo siku hii niitumie kutazama Series ya Punisher, bahati mbaya Network sio rafiki. So nitatumia kulala na kuangalia episode kadhaa za Better Call Saul S3
images (17).jpeg
 
Merry Christmas wapendwa, one day everyone will want to wish me, and shake a hand with me. Bu I'll not have that time😢😢
 
What happened mate? Share nasi tafadhali
Ilitokea nimempenda mtu ambaye niliamini atakua kila kitu kwangu,nilimpa vingi sana,ila hakuona thamani ya vyote hivyo,niliamua kuvunja relationship iliyodumu kwa muda mrefu.Tulikuja kuwa pamoja tena baada ya kipindi kirefu kupita, ckuwahi kujua kuwa tayari alishazalishwa huko alikokuwa ila wameachana na mzazi mwenzie,sikuona umuhimu wa kuwa naye kutokana na situation mbalimbali na tabia zisizobadilika kwake,kuishi na single mother inataka moyo hasa kwa mtu kama yeye,japo aliniahidi hilo kosa halitatokea tena.Mawasiliano yetu kwa muda huo ambao tulirudiana yalikua hafifu sana hasa upande wake,niliamua nipige moyo konde nimpotezee ili niendelee na harakati zangu, tatizo huwa linakua sio kumuacha ila tatizo ni kumtoa kichwani,hapa ndio mtihani upo.Mtu anayeshauri kuwa mpige chini,mpotezee,au kuwa na moyo wa kiume naamini hajapitia hii situation, kingine kwangu kuwa introvert kumenisaidia mambo mengi ila ktk mahusiano to be honest i hate kuwa introvert, nimefupisha hii iliyokuwa love story ambayo imegeuka maumivu.
 
Pole sana mkuu, nothing last forever apart from forever itself. Kila mahusiano hua yanafika mwisho haijalishi ni raha gani mnapata kwenye uhusiano wengi. Ngumu hua ni Kukubali kwamba love is over n to move on.
 
Ilitokea nimempenda mtu ambaye niliamini atakua kila kitu kwangu,nilimpa vingi sana,ila hakuona thamani ya vyote hivyo,niliamua kuvunja relationship iliyodumu kwa muda mrefu.Tulikuja kuwa pamoja tena baada ya kipindi kirefu kupita, ckuwahi kujua kuwa tayari alishazalishwa huko alikokuwa ila wameachana na mzazi mwenzie,sikuona umuhimu wa kuwa naye kutokana na situation mbalimbali na tabia zisizobadilika kwake,kuishi na single mother inataka moyo hasa kwa mtu kama yeye,japo aliniahidi hilo kosa halitatokea tena.Mawasiliano yetu kwa muda huo ambao tulirudiana yalikua hafifu sana hasa upande wake,niliamua nipige moyo konde nimpotezee ili niendelee na harakati zangu, tatizo huwa linakua sio kumuacha ila tatizo ni kumtoa kichwani,hapa ndio mtihani upo.Mtu anayeshauri kuwa mpige chini,mpotezee,au kuwa na moyo wa kiume naamini hajapitia hii situation, kingine kwangu kuwa introvert kumenisaidia mambo mengi ila ktk mahusiano to be honest i hate kuwa introvert, nimefupisha hii iliyokuwa love story ambayo imegeuka maumivu.
Mwanamke akisaliti na kwenda kuliwa na mwingine + kuzalishwa hutakiwi kurudiana nae kwa namna yoyote ile. Mimi mwaka 2014 nikiwa jkt mwanamke wangu akitiwa mimba mahusiano yaliishia hapo ingawa anaomba msamaha hadi leo.
 
Now it's time to say goodnight
Goodnight, sleep tight
Now the sun turns out his light
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Close your eyes and I'll close mine
Goodnight, sleep tight
Now the moon begins to shine
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Close your eyes and I'll close mine
Goodnight, sleep tight
Now the moon begins to shine
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Goodnight
Goodnight baby
images (23).jpeg
 
Back
Top Bottom