Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitokea nimempenda mtu ambaye niliamini atakua kila kitu kwangu,nilimpa vingi sana,ila hakuona thamani ya vyote hivyo,niliamua kuvunja relationship iliyodumu kwa muda mrefu.Tulikuja kuwa pamoja tena baada ya kipindi kirefu kupita, ckuwahi kujua kuwa tayari alishazalishwa huko alikokuwa ila wameachana na mzazi mwenzie,sikuona umuhimu wa kuwa naye kutokana na situation mbalimbali na tabia zisizobadilika kwake,kuishi na single mother inataka moyo hasa kwa mtu kama yeye,japo aliniahidi hilo kosa halitatokea tena.Mawasiliano yetu kwa muda huo ambao tulirudiana yalikua hafifu sana hasa upande wake,niliamua nipige moyo konde nimpotezee ili niendelee na harakati zangu, tatizo huwa linakua sio kumuacha ila tatizo ni kumtoa kichwani,hapa ndio mtihani upo.Mtu anayeshauri kuwa mpige chini,mpotezee,au kuwa na moyo wa kiume naamini hajapitia hii situation, kingine kwangu kuwa introvert kumenisaidia mambo mengi ila ktk mahusiano to be honest i hate kuwa introvert, nimefupisha hii iliyokuwa love story ambayo imegeuka maumivu.What happened mate? Share nasi tafadhali
Experience za maumivu ndio zinatufanya tuwe binaadamu kamili. PoleNilifanyaaa hivo kipindi nakua na iliniumiza mnooo but saiv never ever nilishaacha kuforce mambo kabisaaaa,naenjoy sana kwan furaha yangu haitegemei mtu but it depend on me.
Pole sana mkuu, nothing last forever apart from forever itself. Kila mahusiano hua yanafika mwisho haijalishi ni raha gani mnapata kwenye uhusiano wengi. Ngumu hua ni Kukubali kwamba love is over n to move on.Ilitokea nimempenda mtu ambaye niliamini atakua kila kitu kwangu,nilimpa vingi sana,ila hakuona thamani ya vyote hivyo,niliamua kuvunja relationship iliyodumu kwa muda mrefu.Tulikuja kuwa pamoja tena baada ya kipindi kirefu kupita, ckuwahi kujua kuwa tayari alishazalishwa huko alikokuwa ila wameachana na mzazi mwenzie,sikuona umuhimu wa kuwa naye kutokana na situation mbalimbali na tabia zisizobadilika kwake,kuishi na single mother inataka moyo hasa kwa mtu kama yeye,japo aliniahidi hilo kosa halitatokea tena.Mawasiliano yetu kwa muda huo ambao tulirudiana yalikua hafifu sana hasa upande wake,niliamua nipige moyo konde nimpotezee ili niendelee na harakati zangu, tatizo huwa linakua sio kumuacha ila tatizo ni kumtoa kichwani,hapa ndio mtihani upo.Mtu anayeshauri kuwa mpige chini,mpotezee,au kuwa na moyo wa kiume naamini hajapitia hii situation, kingine kwangu kuwa introvert kumenisaidia mambo mengi ila ktk mahusiano to be honest i hate kuwa introvert, nimefupisha hii iliyokuwa love story ambayo imegeuka maumivu.
Mwanamke akisaliti na kwenda kuliwa na mwingine + kuzalishwa hutakiwi kurudiana nae kwa namna yoyote ile. Mimi mwaka 2014 nikiwa jkt mwanamke wangu akitiwa mimba mahusiano yaliishia hapo ingawa anaomba msamaha hadi leo.Ilitokea nimempenda mtu ambaye niliamini atakua kila kitu kwangu,nilimpa vingi sana,ila hakuona thamani ya vyote hivyo,niliamua kuvunja relationship iliyodumu kwa muda mrefu.Tulikuja kuwa pamoja tena baada ya kipindi kirefu kupita, ckuwahi kujua kuwa tayari alishazalishwa huko alikokuwa ila wameachana na mzazi mwenzie,sikuona umuhimu wa kuwa naye kutokana na situation mbalimbali na tabia zisizobadilika kwake,kuishi na single mother inataka moyo hasa kwa mtu kama yeye,japo aliniahidi hilo kosa halitatokea tena.Mawasiliano yetu kwa muda huo ambao tulirudiana yalikua hafifu sana hasa upande wake,niliamua nipige moyo konde nimpotezee ili niendelee na harakati zangu, tatizo huwa linakua sio kumuacha ila tatizo ni kumtoa kichwani,hapa ndio mtihani upo.Mtu anayeshauri kuwa mpige chini,mpotezee,au kuwa na moyo wa kiume naamini hajapitia hii situation, kingine kwangu kuwa introvert kumenisaidia mambo mengi ila ktk mahusiano to be honest i hate kuwa introvert, nimefupisha hii iliyokuwa love story ambayo imegeuka maumivu.
Wanajua sana kupenda wanaume wa KinyakyusaWababe Lakini wako romantic
Wa wapi nyie mkuu?Lakini hata sisi pia twajua mkuu
Kwa upande wa wadada nasikia ni ma 'blaka biuty'Wababe Lakini wako romantic