Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Umeanza vizuri ila umeharibu kwenye majani majaniš¤£š¤£š¤£Kwa upande wa wadada nasikia ni ma 'blaka biuty'
Pia eti inasemekana wanapenda sana kuvaa nguo za rangi majani majani.
Wadau walifika mbali zaidi na kudai wanavaa zile rangi ku represent the green city.