Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Yaani hafai kabisa, maana hapo sasa kawa mke wa mtu kaongeza tatizo kubwa zaidi kuwa single mother
 
Vp hii "fight for what you love"
Sorry kwa kuchelewa kujibu oni lako hili, sio mzoefu kwenye masuala ya mapenzi ila mkuu, life is full of surprise hasa kwenye mapenzi. Unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi.. Wanasema kwamba ukipenda mtu mshikilie asiondoke but mkuu kabla ya kufanya hivyo jiulize mtu huyo unayeFight for does she/he worth your effort??? Pambana pale unapoona unapendwa ila kumetokea migogoro tu fulani. Sio mtu hakutaki na hakupendi wewe unazidi eti unapambania penzi.

Hisia hazipandikizwi ndugu (kwa maoni yangu) anayekupenda atakupenda tu. Kikubwa kamwe usitumie material things yoyote kama vile cheo, mali, pesa,madalaka nk kumfanya mtu akupende. Kama unataka mapenzi na sio sex basi usifanye vitu hivyo utajuta maana Upendo haununuliwi na hakuna kiasi cha mali wala pesa kinachoweza kununua Upendo wa mtu. Utaishia kuigiziwa mapenzi.

Kikubwa mkuu kama mtu akikuacha wewe usinungunike ndio maisha nothing last forever, Na kama akikupenda na ukaona kabisa ana mapenzi kwako kamwe usimuache. Shida tunaitumia nguvu nyingi kutambua hisia za mtu na kupata penzi la mtu anayekupenda.. Just let things flow naturally.

😢😢😢Unayemuacha ndio mpenzi wako wa Maisha yako, unayemuona hana thamani kwako utamjutia kwenye maisha yako
FB_IMG_16216762492805806.jpg
 
Kwa upande wa wadada nasikia ni ma 'blaka biuty'

Pia eti inasemekana wanapenda sana kuvaa nguo za rangi majani majani.

Wadau walifika mbali zaidi na kudai wanavaa zile rangi ku represent the green city.

Umeanza vizuri ila umeharibu kwenye majani majani🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona watu wenye asili ya Mbeye hua na roho nzuru, Nadhani kuwepo kwa dini kwa kiasi kikubwa kumechangia wawe hivo.
(Ila hua nashangaa matukio yanayotekea huko mbeya inakuaje tena wakati watu hawa wana roho za upendo? Sijui shida ipo wapi)
 

Kikubwa mkuu kama mtu akikuacha wewe usinungunike ndio maisha nothing last forever, Na kama akikupenda na ukaona kabisa ana mapenzi kwako kamwe usimuache. Shida tunaitumia nguvu nyingi kutambua hisia za mtu na kupata penzi la mtu anayekupenda.. Just let things flow naturally.​

Unayemuacha ndio mpenzi wako wa Maisha yako, unayemuona hana thamani kwako utamjutia kwenye maisha yako
tatzo n kwmba kumjua anayekupenda kwa dhat n changamoto, weeng wamesalitiwa kias kwamba wamejawa na vsasi na malipiza na kuhis kila mtu n msaliti.

mnaingia kwny mahusiano kama vtani, kila mtu anajihami 😪. Wanaopata tabu n wasio na hatia wny mioyo safi , nao baada ya kipnd fulani wanaharibika mnoo na kuwa makatili.
 
Ubaya ni kwamba mwandishi yuko single.

Mimi nahisi mwandishi anashida na yeye hajajua kinachomsumbua ndo maana anapata stress.

Ebu muone mwanasaikolojia.

Mimi niko njiani kumuona maana watz wengi tuu-vichaa
Hii post yako nimeileta huku ili uzi ulioComment ufutike. I want it to fade away.

Kwanini unadhani mtoa mada yupo single?
Je kwanini unadhani kua mtoa mada ana matatizo na anahitaji kumuona mwanasaikolojia?
 
Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.

Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
Haha Hahahah mpaka kieleweke
 
tatzo n kwmba kumjua anayekupenda kwa dhat n changamoto, weeng wamesalitiwa kias kwamba wamejawa na vsasi na malipiza na kuhis kila mtu n msaliti.

mnaingia kwny mahusiano kama vtani, kila mtu anajihami [emoji25]. Wanaopata tabu n wasio na hatia wny mioyo safi , nao baada ya kipnd fulani wanaharibika mnoo na kuwa makatili.
Unamkuta mtu alishadate na wanaume zaidi ya Watatu akaumizwa leo wewe unajaribu kumu enfluence akupende unatumia nguvu kubwa kufanya hivyo kumbe alishajenga picha kichwani mwake kwamba wanaume ni wale walewale!
Mapenzi yamekuwa very difficult kwa watu wanaotaka kuanzisha mahusiano serously ukikutana na hawa walioumizwa ni kama wamekata tamaa.

Kuna mdada nilimwaproach tuingie kwenye mahusiano first aliniambia kwa sasa hana mtu so nikaanza kumjulia hali asubhu na kumpa mpa vihela after time katika Story akaniambia hamwamini mwanaume yeyote kwa sasa imagne ukiingia nae kwenye mahusiano serously nini kitatokea si utatumia nguvu kubwa sana kum courage na kumcare? Haya ukaja kugundua ni mbovu huku umetumia muda na gharama nani atakulipia maana mapenzi ni interest issue inakuwa loss ni maumivu.

Nashauri watu wajaribu kuingia kwenye uhusiano kwa kuchunguzana sana kama issue ni kufanya maisha lakini kama ni kupiga na kusepa usipoteze muda wako piga sepa
 
Jinsi ninavyosubiri salamu za Heri ya mwaka mpya kabla sijalalašŸ˜ž
FB_IMG_16409766059693559.jpg
FB_IMG_16409766105631007.jpg
FB_IMG_16409766153808155.jpg
FB_IMG_16409766209328722.jpg
FB_IMG_16409766254818170.jpg
FB_IMG_16409766317157253.jpg
 
Siwezi kumng'ang'ania mtu abaki maishani mwangu kwa kweli kwa jinsi ninavyojifahamu.... Hasa kama maamuzi ameyatoa yeye, loooh!! nitayafata tu ata km nilimpenda kupita maelezo. Ata kama ni rafiki wa karibu Sana na Mimi, maana ni maamuzi yake... Ila akijirekebisha ni sawa tu kuwa kama zamani, maana sinaga tabia ya kuweka vitu moyoni kbs kbs, mwepesi kusamehe na huwa siwez kubembeleza.
 
Back
Top Bottom