Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kama mtu me/ke kakupenda sana na mwenyewe umethibitisha kua huyu mtu ananipenda kwa dahati ila wewe humpendi tafadhali usitumie nafasi hiyo kumuumiza watu wengi wanakua serial killers kwa ajili ya kukataliwa/oppressed na watu wanaowapenda kama wazazi au Crushes.

Mtu akikupenda usipompenda huna haja ya kumuambia kwa kashfa/kumsimanga kua humtaki , bora hata uwe unampa hata atumaini kwa hugs na maneno mazuri ya kutia moyo…Kuna watu wanapeda vibaya mno, mtu wa namna hiyo inatakiwa uchunge maneno ya kumjibu pindi mnapoongea. Maana ukimjibu majibu ya kumkashfu atajiona hana thamani duniani, ataona watu hawatakiwi kupendwa nakufanyia wema..mtu kama huyo anaweza kujidhuru au asipojidhuru basi anaweza kudhuru wengine. Hapa ndio wanatokea sasa wale wazee wa hit and run, anakuzalisha anakutelekeza, au anaweza kua muuaji (kuna kesi nyingi ajili hili)

Anyway nilitaka kusema pole kama ilikutokea. But if someone push you have to push them back coz you can't run forever. Sometimes inatakiwa ubembeleze upendo for collective good if the one worth it [emoji3577]
Ahahaha siwez kubembeleza namna iyo mkuu.... Namwacha aende tu. You can't force someone to love you... ata km alinipenda kias gani.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Be an introvert but not a simp. Life is a bitch but live it for the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala of it.
Music keeps me going..
Live your time mate you won't have it back, Usijitenge na jamii no one can survive on his own!
But How can a thing so beautiful as life bring so much pain to peoples??😔
Life is so strange and exhausting
images (24).jpeg
 
Heeee mkuu
Tusemezane nini sasa hapo
Kasema anakupenda, nijambo jema ndio ningependa umsikilize huyu jamaa. Unajua mambo mzurii hua yanatokea bila kutarajia eeh(Naturally n Automatically), kama hutajali msikilize tu huwezi jua
Daah mzee unanipa penalty [emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana sijakupa penalty, umesema unampenda basi usiwe unatania au unaomuongopea huyo binti. Na usiseme Hivyo for taking advantage of her. Uwe genuine kwa hayo uliyomwambia
 
Kasema anakupenda, nijambo jema ndio ningependa umsikilize huyu jamaa. Unajua mambo mzurii hua yanatokea bila kutarajia eeh(Naturally n Automatically), kama hutajali msikilize tu huwezi jua

Hapana sijakupa penalty, umesema unampenda basi usiwe unatania au unaomuongopea huyo binti. Na usiseme Hivyo for taking advantage of her. Uwe genuine kwa hayo uliyomwambia

Naona umeamua kua love connector mkuu
We una lako jambo sio bure[emoji38][emoji38][emoji38]jokes
 
Naona umeamua kua love connector mkuu
We una lako jambo sio bure[emoji38][emoji38][emoji38]jokes
Hapana Mkuu wala sina jambo lolote it's just napenda kuona watu wakipendana. Si unajua ukishindwa kutimiza malengo yako basi wasaidie wengine kutimiza malengo yao😉
 
Hapana Mkuu wala sina jambo lolote it's just napenda kuona watu wakipendana. Si unajua ukishindwa kutimiza malengo yako basi wasaidie wengine kutimiza malengo yao[emoji6]

Wewe ukishaweza kutimiza malengo utanambia bas na mimi nitimize malengo mkuu
Huu mwaka ni wetu[emoji16]
 
Wewe ukishaweza kutimiza malengo utanambia bas na mimi nitimize malengo mkuu
Huu mwaka ni wetu[emoji16]
Hapana mimi sitaweza kutimiza ndio maana nataka jamaa atimize lengo la kutoka kwenye upweke kwa kua nawe. Nitafurahi maana lengo langu la kumsaidia litakua limetimia.
Halafu inaonyesha huu mwaka umeupania sana, ngoja ukupamie🤣
 
Niupamie kisa nn mkuu jaman
Halafu mwanaume wapi akaelekezwa jinsi ya kutoa upweke
Ndo naona kwako
Usikute ID ni moja😆😆😆napata hofu
 
Niupamie kisa nn mkuu jaman
Halafu mwanaume wapi akaelekezwa jinsi ya kutoa upweke
Ndo naona kwako
Usikute ID ni moja😆😆😆napata hofu
Naomba radhi kama hizi conversation you found them annoying, kama hutajali naomba tuzifute. Kama ningekua ni ID Yangu ningekuambia mwenyewe sina haja ya kuigiza. Lakini pia hicho ni kitu kisichoweza kutokea kwangu, nikupende kisa tu tupo hapa tunaConversate pamoja with no any bond btn us. Hata kama ningekua nimekutaman nisingekuambia..😞
 
Mimi kuna mtu amejua kuniganda jameeni..nimemchokaaaa....kuna kipind tunaachana tunarudiana...ila imefika muda simhitaji tenaaa.yani nafsi ishamchokaaa japo yeye anafanya yake huko akuona watu haendani nao anarudi kwangu mi nna mahusiano mengine tena bora zaidi...nishapiga block koteeee..lkn atakaa miezi 2 anarudi kivyovyote

Sijawah ona mkaka king'anganizi km yule..na mipesa yake yote lkn ptuuuuu hapana nimechoka[emoji849]

Mpk namhisi km jini vile
 
mimi kuna mtu amejua kuniganda jameeni..nimemchokaaaa....kuna kipind tunaachana tunarudiana...ila imefika muda simhitaji tenaaa.yani nafsi ishamchokaaa japo yeye anafanya yake huko akuona watu haendani nao anarudi kwangu mi nna mahusiano mengine tena bora zaidi...nishapiga block koteeee..lkn atakaa miezi 2 anarudi kivyovyote

Sijawah ona mkaka king'anganizi km yule..na mipesa yake yote lkn ptuuuuu hapana nimechoka[emoji849]

Mpk namhisi km jini vile
Kwanza nimecheka sana halafu nimesikitika,kweli kwenye miti hapana wajenzi😅
Yaani wengine tunatamani tupate hao wa kutuganda au wa kututumia sms za goodnight hatupati. Halafu nyie mnawaBlock kabisa. Kweli life is not fair
 
You always have to call me out!! It's just really frustrating and that bums me out.😴😴😞😞
FB_IMG_16422787326413825.jpg
 
Nilikuwa msomaji tu wa maoni ya wadau kwenye Uzi huu.
Ngoja na Mimi ni subscribe kabisa na nihusike kwenye conversation ya uzi huu.
Say welcome to me mates
 
Kwanza nimecheka sana halafu nimesikitika,kweli kwenye miti hapana wajenzi[emoji28]
Yaani wengine tunatamani tupate hao wa kutuganda au wa kututumia sms za goodnight hatupati. Halafu nyie mnawaBlock kabisa. Kweli life is not fair
*ndugu yangu sio kwa kupenda..penzi kalichezea....ana cheat...anarudi..anacheat anarudi..unasamehe...akienda huko anakutana na asotarajia..wako kimsalahi et anageuza....anaondoka kwa mbwembwe
.anarudi mdgo...
Hakuna mtu anaweza vumilia..its either uende au ubaki*
Tulidate almost 5yrs...
Hakuwah kuwa na mahusiano marefu km hayo..mwenyewe anasema akizidi sana 6month..hapa alikaa..ila ndo umalaya sasa[emoji57].

Penzi la hivyo linaboa..

Bht nzuri nina wangu kanioa nimetulia....
 
I'll friendly advice you to embrace what you have dear, Binadamu ndio hao hao mvumilie atatulia
 
Na mm msaada kwenye tuta,napendwa na mademu wabaya wabaya plus wake za watu af wananiganda kishenzi,unakuta eti Hadi wanali.

Naomba muongozo jinsi ya kuwapotezea bila kuwaumiza maana baadhi nashinda nao sehem ya kazi.

Sipendi kumtamkia mwanamke maneno makali kama kumkataa.

Kuna mmoja nilimjibu tu "sina hisia na ww" aiseee naomba niishie hapa maana kilichotaka kutokea duuuuuh,kweli wanawake wanapenda.

Muongozo tafadhali,maana baadhi nikiwakaushia unaona wanaanza kupigia misele mazingira yangu ya kazi.
 
Back
Top Bottom