Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
Ahahaha siwez kubembeleza namna iyo mkuu.... Namwacha aende tu. You can't force someone to love you... ata km alinipenda kias gani.Kama mtu me/ke kakupenda sana na mwenyewe umethibitisha kua huyu mtu ananipenda kwa dahati ila wewe humpendi tafadhali usitumie nafasi hiyo kumuumiza watu wengi wanakua serial killers kwa ajili ya kukataliwa/oppressed na watu wanaowapenda kama wazazi au Crushes.
Mtu akikupenda usipompenda huna haja ya kumuambia kwa kashfa/kumsimanga kua humtaki , bora hata uwe unampa hata atumaini kwa hugs na maneno mazuri ya kutia moyo…Kuna watu wanapeda vibaya mno, mtu wa namna hiyo inatakiwa uchunge maneno ya kumjibu pindi mnapoongea. Maana ukimjibu majibu ya kumkashfu atajiona hana thamani duniani, ataona watu hawatakiwi kupendwa nakufanyia wema..mtu kama huyo anaweza kujidhuru au asipojidhuru basi anaweza kudhuru wengine. Hapa ndio wanatokea sasa wale wazee wa hit and run, anakuzalisha anakutelekeza, au anaweza kua muuaji (kuna kesi nyingi ajili hili)
Anyway nilitaka kusema pole kama ilikutokea. But if someone push you have to push them back coz you can't run forever. Sometimes inatakiwa ubembeleze upendo for collective good if the one worth it [emoji3577]
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app