Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Unampenda kweli toka ndani yako???
Simpendi kwa sasa ninampenda mwingine. Yeye nilimtokea last year tulipokutana kwenye event akaniambia ana mpenzi wake yuko mkoani. Nimebembeleza kama mara tatu hivi nikaachana nae, miezi kama sita baadae akaanzisha ukaribu nami ndio nikaingia. Sasa anataka once and for all na siko tayari
 
Kitu kinachofanya tunashindwa kupata yale yanayofaa tuyapate ni kutokua na Subira! Tunapenda kuwahisha mambo ili tupate yale ambayo tunayataka kwa muda Fulani tunaotaka ila tunasahau kua yatakiwa tupate yale yanayostahili/yatufaoyo kuyapata kwa muda ufaoa. Subira na utii wako ndio ghalama pekee ambayo unatakiwa uilipe kwa Mungu ili upate yale unayostahili kupata. Kama huwezi kusubiri upate yale unayostahili kwa muda unaostahili ila unataka upate yale unayoyataka kwa muda unaoutaka hivyo jua unamkaribisha Shetani maishani mwako maana utakua huna tena subira, tama itakua imejaza moyo wako na shetani ndie anayetoa vitu vya tamaa.

Haijalishi umekaa nyumbani bila ajira, umekaa muda gani bila mume,umekaa muda gani bila mtoto kamwe usiruhusu matatizo yako yakawa Advantage ya kukupata kirahisi, wewe ni wa thamani na mwili wako ni wa thamani ndio maana Mungu kakuamini na kukupa heshima ya kuufanya mwili wako ukamilishe uumbaji. Shida zako na mateso yako yasikufanye uishushe hadhi hiyo uliyopewa kwa kuwaacha mameneja wakutumie kadri wawezavyo. Muda ukifika utapata yote mazuri yaliyoandaliwa ajili yako..Huna haja ya kuwahisha mambo hadi unaamua kugawa penzi ili upate ajira. Jithamini, U wathamani mno!

PS. Natambua binaadamu tumeumbwa na madhaifu na moja ya dhaifu letu/langu ni kukata tamaa pale mambo yanapokua magumu! Lakini nivyema pale unapokata tamaa na kujirudi kwamba hukujiumba wewe, aliyekuumba anakuona na ana kusudi nawe.

Please God understand us bless our family guide us all before we fall to this insanity. It's gonna take the man in Us, to conquer this insanity
-Vinjiii
Amen
 
Simpendi kwa sasa ninampenda mwingine. Yeye nilimtokea last year tulipokutana kwenye event akaniambia ana mpenzi wake yuko mkoani. Nimebembeleza kama mara tatu hivi nikaachana nae, miezi kama sita baadae akaanzisha ukaribu nami ndio nikaingia. Sasa anataka once and for all na siko tayari
Japo ulikosea mwanzo kabisa kumtokea usiyempenda sana na ukaja kua nae ukiwa unajua kabisa huna hisia nae za dhati then you have to make things right.

Kwakua kakuuliza hivo basi mueleze ukweli kuhusu hisia zako na malengo yako juu yake. Jitahidi uachane nae usiache kumwambia ukweli sababu unamuonea huruma. Kamwe usiwe na mahusiano na mtu kwa sababu unaomuonea huruma au unahofu ukimuacha atajisikia vibaya!
Ukiendelea hivo utakaribisha Negative energy maishani mwako!
 
wewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu.

Kama unataka kumsaidia mtu saidia then mwache aende sio umtake kimapenzi, hata usipomtaka kimapenzi basi msaada wako usiwe fimbo ya kumchapia. Umnyanyase kiakili na kimwili kisa bila wewe asingepata kazi hiyo. Saidia kisha futa kabisa katika kumbukumbu zako kua uliwahi kusaidia mdada Fulani kupata kazi katika kampuni uliyopo. Hupati faida yoyote ukitangaza kama uliwahi msaidia mtu Fulani.

-Life is full of Surprises and Possibil
 
FB_IMG_16050175719658090.jpg
 
wewe ndio unaweza kujenga au kubomoa hatima ya maisha yako kutokana na matendo yako, fanya kila aiana ya upuuzi kwenye sinia hili tunaloita dunia ila HESHIMU MWILI WAKO NI WATHAMANI (A wonderful made) . Lakini pia kwenu watu mliopewa dhamani ya kua kwenye ngazi za juu katika mashirika na makampuni jitahidini muwe na utu na kujali maadili ya kazi zenu. Kama unataka kumsaidia mtu saidia then mwache aende sio umtake kimapenzi, hata usipomtaka kimapenzi basi msaada wako usiwe fimbo ya kumchapia. Umnyanyase kiakili na kimwili kisa bila wewe asingepata kazi hiyo. Saidia kisha futa kabisa katika kumbukumbu zako kua uliwahi kusaidia mdada Fulani kupata kazi katika kampuni uliyopo. Hupati faida yoyote ukitangaza kama uliwahi msaidia mtu Fulani.
-Life is full of Surprises and Possibil
Kweli kabisaaaaaa
 
Mimi udhaifu wangu ni samahani, hata unikosee nini ukisema hivo. Nafuta kila kitu coz you feel guilty for what you did to me. Shida ni pale Ke asipojishusha

Wala sio kwamba mnalazimisha kuhusiana it's just We get what we don't deserve. Mwisho mnabaki mwapendana ili liende (life) tu
Same to me aisee
 
I have come to see this so little love from me It's so hard to find someone who's kind.
Now it's time to share to one another show some care
We all need some understanding to survive
Join me everybody to find the love we need

This is from me to you
All we have to do
Is live together in our world
And find the love we all once knew
This is from me to you
All we have to do
Is live together in our world
In true harmony😞😞😞
FB_IMG_16427538562585370.jpg
 
Life is full of lots of up and downs
And the distance feels further
When you're headed for the ground
And there is nothing more painful than to let your feelings take you down
It's so hard to know the way you feel inside

When there's many thoughts and feelings that you hide
But you might feel better if you let me walk with you
By your side
And when you need a shoulder to cry on
When you need a friend to rely on
When the whole world is gone
You won't be alone, cause I'll be there
I'll be your shoulder to cry on
I'll be there
I'll be a friend to rely on


All of the times when everything is wrong
And you're feeling like
There's no use going on
You can't give it up
I hope you work it out and carry on
Side by side,
With you till the end
I'll always be the one to firmly hold your hand
No matter what is said or done
Our love will always continue on

Haya maneno aliyaimba mwanamziki Senzo, Trust me they're not real at all. Because no one think about you and ni one will ever feel sorry for you
FB_IMG_16427537211095089.jpg
 
life is full of surprise hasa kwenye mapenzi. Unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi.. Wanasema kwamba ukipenda mtu mshikilie asiondoke but mkuu kabla ya kufanya hivyo jiulize mtu huyo unayeFight for does she/he worth your effort??? Pambana pale unapoona unapendwa ila kumetokea migogoro tu fulani. Sio mtu hakutaki na hakupendi wewe unazidi eti unapambania penzi.

Hisia hazipandikizwi ndugu (kwa maoni yangu) anayekupenda atakupenda tu. Kikubwa kamwe usitumie material things yoyote kama vile cheo, mali, pesa,madalaka nk kumfanya mtu akupende. Kama unataka mapenzi na sio sex basi usifanye vitu hivyo utajuta maana Upendo haununuliwi na hakuna kiasi cha mali wala pesa kinachoweza kununua Upendo wa mtu. Utaishia kuigiziwa mapenzi.

Kikubwa mkuu kama mtu akikuacha wewe usinungunike ndio maisha nothing last forever, Na kama akikupenda na ukaona kabisa ana mapenzi kwako kamwe usimuache. Shida tunaitumia nguvu nyingi kutambua hisia za mtu na kupata penzi la mtu anayekupenda.. Just let things flow naturally.

😢😢😢Unayemuacha ndio mpenzi wako wa Maisha yako, unayemuona hana thamani kwako utamjutia kwenye maisha yako
FB_IMG_16427538460632756.jpg
 
I'll be waiting for you
Here inside my heart
I'm the one who wants to love you more
You will see I can give you
Everything you need
Let me be the one to love you more
Some way all the love that we had can be saved
Whatever it takes we'll find a way
FB_IMG_16338179965808112.jpg
 
*ndugu yangu sio kwa kupenda..penzi kalichezea....ana cheat...anarudi..anacheat anarudi..unasamehe...akienda huko anakutana na asotarajia..wako kimsalahi et anageuza....anaondoka kwa mbwembwe
.anarudi mdgo...
Hakuna mtu anaweza vumilia..its either uende au ubaki*
Tulidate almost 5yrs...
Hakuwah kuwa na mahusiano marefu km hayo..mwenyewe anasema akizidi sana 6month..hapa alikaa..ila ndo umalaya sasa[emoji57].

Penzi la hivyo linaboa..

Bht nzuri nina wangu kanioa nimetulia....
Vp aliyekuoa hana vinasaba vya ex wako? Maana huwa mnasema wanaume ni walewale.
 
I make my journey through eternity
With all my love for you, I keep the memory of you inside me
FB_IMG_16073760213653395.jpg
 
Love doesn't ask why
It speaks from the heart
And never explains
Don't you know that
Love doesn't think twice
It can come all at once
Or whisper from a distance
Don't ask me if this feeling's right or wrong
It doesn't have to make much sense
It just has to be this strong
'Cause when you're in my arms I
images (75).jpeg
understand
 
Babe don't stop, no, don't stop
Come close to me, baby, no, don't stop
I want this daily
I've fallen in love, I cannot deny
What you wanna? mmm
Tell me!
I try to go low low low
You got me going low low low
Woyoooo
And when I'm with you oh no no
I misbehave,
Oh, this is crazy
FB_IMG_16381337598873370.jpg
 
Back
Top Bottom