Mimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.📌📌📌Bro kwani hujawahi kupenda au kupendwa,
Hujawahi kushuhudia watu wakipendana??
Tuanzie hapo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
View attachment 2289116
I'm not starving to be loved pal. It's just they're all liars. They don't really love you. They're just lonely that's why they need you.
I'm comfortable on my own with MCU
Unapenda mtu kumbe ana yake, hapo tutazinguana tu no matter whatWakina nani wanazingua mamndenyi??
Am sure unalazimisha situation unayopiitia wewe ndo iwe general kwa watu wote trust me man love is there people enjoy and they will continue enjoyMimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.[emoji419][emoji419][emoji419]
Kuna Hali unaipitia sio BureYou're not important to them or anyone. Wanakuongopea tu.
Nobody loves or need you!
#World is full of lies
View attachment 2294588
Pole sanaMimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.[emoji419][emoji419][emoji419]
Mdogo wangu amini nachokuambia.. mimi sizungumziii upendo wa Agape. Nazungumzia mapenzi unayoyajua.Am sure unalazimisha situation unayopiitia wewe ndo iwe general kwa watu wote trust me man love is there people enjoy and they will continue enjoy
Kumbuka mwanzilishi wa upendo ni Mungu na kama unaamini there is no love basi ukubali kuamini kuwa huamini pia Mungu yupo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji106][emoji120]Ukiishi kwa kuitambua thamani yako na ukaipa nafasi Yake itawale maishani...ama hakika hakuna mtu ambaye anaweza kumusumbua maishani.....kanuni kubwa ya kwanza ya mahusiano ya kupasa ujipende wewe kwanza ..kisha uwapende na kuwahurumia wale wote wanaokupenda.....endapo mtu unayempenda atageuka kuwa haonyeshi kufungamana na wewe katika upendo basi rejea katika kanuni ya kwanza ambayo nikujipenda mwenyewe......ukijipenda mwenyewe na kujipa thamani hauto thubutu kumkaribisha mtu yeyote yule akubaribie maisha yako iwe kwakucheza na hisia zako ama maisha yako kwaujumla
Kaka uko kwenye mahusiano au nawee ni member mwenzangu wa NoFap?Pole sana mate, nilibadiri jina juzi kua Ser Criston Cole. I will always be Vinchii.
View attachment 2348635
Hello..
Natumaini uko sala JJ[emoji3577]
Good to see you here again