Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Bro kwani hujawahi kupenda au kupendwa,
Hujawahi kushuhudia watu wakipendana??
Tuanzie hapo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.📌📌📌
 
Sipo tiar kupenda au kupendwa... Upuuzi huo unafanya tupoteze mda, tambua hamna mtu anakupenda dunia hii Zaid ya wazaz
 
You're not important to them or anyone. Wanakuongopea tu.
Nobody loves or need you!
#World is full of lies
FB_IMG_16565958755517877.jpg
 
Mimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.[emoji419][emoji419][emoji419]
Am sure unalazimisha situation unayopiitia wewe ndo iwe general kwa watu wote trust me man love is there people enjoy and they will continue enjoy

Kumbuka mwanzilishi wa upendo ni Mungu na kama unaamini there is no love basi ukubali kuamini kuwa huamini pia Mungu yupo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.[emoji419][emoji419][emoji419]
Pole sana
Biblia inasena
"Aonavyo mtu nafusini kwake ndivyo alivyo".
 
Am sure unalazimisha situation unayopiitia wewe ndo iwe general kwa watu wote trust me man love is there people enjoy and they will continue enjoy

Kumbuka mwanzilishi wa upendo ni Mungu na kama unaamini there is no love basi ukubali kuamini kuwa huamini pia Mungu yupo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mdogo wangu amini nachokuambia.. mimi sizungumziii upendo wa Agape. Nazungumzia mapenzi unayoyajua.
Huyo mwanamke anayekuambia anakupenda anakudanganya kuna sababu inamfanya akuambie hivyo either material au Upweke so siku moja she's gonna despise you
Note this
 
life is full of surprise hasa kwenye mapenzi. Unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi.. Wanasema kwamba ukipenda mtu mshikilie asiondoke but mkuu kabla ya kufanya hivyo jiulize mtu huyo unayeFight for does she/he worth your effort??? Pambana pale unapoona unapendwa ila kumetokea migogoro tu fulani. Sio mtu hakutaki na hakupendi wewe unazidi eti unapambania penzi.

Hisia hazipandikizwi ndugu (kwa maoni yangu) anayekupenda atakupenda tu. Kikubwa kamwe usitumie material things yoyote kama vile cheo, mali, pesa,madalaka nk kumfanya mtu akupende. Kama unataka mapenzi na sio sex basi usifanye vitu hivyo utajuta maana Upendo haununuliwi na hakuna kiasi cha mali wala pesa kinachoweza kununua Upendo wa mtu. Utaishia kuigiziwa mapenzi.

Kikubwa mkuu kama mtu akikuacha wewe usinungunike ndio maisha nothing last forever, Na kama akikupenda na ukaona kabisa ana mapenzi kwako kamwe usimuache. Shida tunaitumia nguvu nyingi kutambua hisia za mtu na kupata penzi la mtu anayekupenda.. Just let things flow naturally.

😢😢😢Unayemuacha ndio mpenzi wako wa Maisha yako, unayemuona hana thamani kwako utamjutia kwenye maisha yako
 
Don't you ever be sorry for loving someone who you have strong feeling for her/him. If you love someone never give up on her...Love them with all of yours.
Love is all we have ❤️
FB_IMG_16617911899827663.jpg
 
Ukiishi kwa kuitambua thamani yako na ukaipa nafasi Yake itawale maishani...ama hakika hakuna mtu ambaye anaweza kumusumbua maishani.....kanuni kubwa ya kwanza ya mahusiano ya kupasa ujipende wewe kwanza ..kisha uwapende na kuwahurumia wale wote wanaokupenda.....endapo mtu unayempenda atageuka kuwa haonyeshi kufungamana na wewe katika upendo basi rejea katika kanuni ya kwanza ambayo nikujipenda mwenyewe......ukijipenda mwenyewe na kujipa thamani hauto thubutu kumkaribisha mtu yeyote yule akubaribie maisha yako iwe kwakucheza na hisia zako ama maisha yako kwaujumla
[emoji106][emoji120]
 
I was tried very harder to search by the name "D.....code" but I got nothing!😭
That trigger, for rise of my tension and anxiety.

Then, I try to pass on my historical data. I found something very strange and notice something new.

Finally, It pays off.
Hello Mate👋

Thanks God.
 
Back
Top Bottom