Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #1,201
Mimi sina hisia hata kidogo. Sijui kupendwa wala sipendeki. Navhojua ni kwamba love is illusion, kila anayekuambia kua anakupenda tofauti na mzazi wako basi jua anakudanganya.📌📌📌Bro kwani hujawahi kupenda au kupendwa,
Hujawahi kushuhudia watu wakipendana??
Tuanzie hapo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app