Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Tatizo sio sisi ni moyo[emoji175] inatokea tu unamzoea mtu unamuweka moyoni to the extent siku akisema lets end up here aisee unatamani kudisappear in this rotten world...mimi koo lilifunga chakula kilikuwa hakipiti nalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] simtaki yoyote ila yeye [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
good for you
 
Ila mapenzi haya[emoji38]
 
I feel you.
Nimeumia kwa post hii
 
sawa sawaa mkuu nitayafanyia kazi.. πŸ™

Nimeanza kwenda jogging kila siku nihamishie akili yangu huko
 
Umenikumbusha kuna kascreenshot nilikuwa nacho hapa cha mwaka jana mwezi wa3... imetokea kapo mpaka leo maana hii simu huwa siishiki mara kwa mara maana nina simu nyingne better zaidi, nilipoona huu uzi nikarusha na bluetooth chap kwny PC ili nishee na nyie


kwa kweli, i was lost by the time (angalia izo chats na time zake)
 
issue sio pisi kali issue ni kama ulivyoanza kwenye huu uzi.. that feeling kama upo attached nae ndo inapoteza wengi.. you fight for nothing
 
alikutafuta that day au ndo mazima
 
πŸ˜€Its like mlikuwa na ugomvi share with us shida ilikuwa nini who was the wrongdoer....
shida ilianza kwake, na mainly kwny mawasiliano, sema all in all, mtu akibadilika, hata ukiiaddress shida hatobadilika, badala yake kuonesha makucha zaidi. Kwny kuonesha makucha zaidi, kwa sababu unakuwa unamkubali unakuta unasema fine, ngoja nijishushe tuyamalize, ila ndo hivyo tena, anakuwa haambiliki, unaona ni sawa tu, kila m1 aende njia yake
 
Daaah pole
 
Ulikua Simp...I've been there I've done that lakini saivi I'm cold hearted af

I'm not heartless but I just use it less

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…