Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Tatizo sio sisi ni moyo[emoji175] inatokea tu unamzoea mtu unamuweka moyoni to the extent siku akisema lets end up here aisee unatamani kudisappear in this rotten world...mimi koo lilifunga chakula kilikuwa hakipiti nalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] simtaki yoyote ila yeye [emoji3064][emoji3064][emoji3064]Nini kinawapata hadi mnakaa siku tatu eti hamli kisa mmeachwa?? Hua wanawapa vitu gani??
Au ni mimi tu sinaga upendo rohoni?
[emoji116]
Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore. Ukiwa peke yako unakuwa unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio...www.jamiiforums.com