Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Unatakiwa ukapige mbupuu kuweka heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongo, wanawake hampendi mtu mpole na msema kweli. Mnataka wahuni na wanaowadanganya
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
 
Lies,
Liars
City of lies and liars
Kila abayekuambia anakupenda ni muongo. Anakudanganya. No truth in the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…