Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Mamaaae.

Kwanza ngoja niliieeee.

Naanza nikiwa chuo mwaka wa tatu nilibahatika kutokea kumpenda mdada mmoja kutoka moyoni yaani ile moyoni sio ya kuigizs yule dada aseme nini mimi nisifanye.

Akiumwa Hospitali pembeni niko,
Chakula maji kiuhalisia kwa asilimia kubwa nilikuwa naprovider mwenyewe.

Ila Yule dada viwango vyake vya kunielewa nadhani havikufika kwangu,

Katika kufanya yote mengine hata sijaayaandika humu wala hakuwa na muda na mimi.

Basi Katika kupata nisicholihitaji nakumbuka nilijifunza pombe hapo hapo.

Ashukiriwe Mungu miaka ikaenda nikaja kupata mwanamke ambaye mimi mwenyewe ndo alinipenda sana tena kwa dhati.

Kale kadada nilikuja kukutana nae ofisi moja ya serikali jamii kuna issue tulikuwa tunafuatilia wote nachokumbuka kwa hasira nikamtoa lunch nilitumia elfu 50 kwa ajili yake anione tu na hela.

Baada ya hapo kaanza kunitafuta na kuniambia ya kuwa nimekachunia nikacheka sana nikasema kiko wapi wewe... mpumbavu mmoja kwendraaaaaaaaaaaa
Unatakiwa ukapige mbupuu kuweka heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It ain't over until it's over⌚
IMG_20230411_211716.jpg
 
Muongo, wanawake hampendi mtu mpole na msema kweli. Mnataka wahuni na wanaowadanganya
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
 
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
Lies,
Liars
City of lies and liars
Kila abayekuambia anakupenda ni muongo. Anakudanganya. No truth in the world.
 
Back
Top Bottom