Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
I'm not a simp so I don't prefer negotiating for genuine desireAre you looking for a wife?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'm not a simp so I don't prefer negotiating for genuine desireAre you looking for a wife?
Hujajibu swaliI'm not a simp so I don't prefer negotiating for genuine desire
Unatakiwa ukapige mbupuu kuweka heshimaMamaaae.
Kwanza ngoja niliieeee.
Naanza nikiwa chuo mwaka wa tatu nilibahatika kutokea kumpenda mdada mmoja kutoka moyoni yaani ile moyoni sio ya kuigizs yule dada aseme nini mimi nisifanye.
Akiumwa Hospitali pembeni niko,
Chakula maji kiuhalisia kwa asilimia kubwa nilikuwa naprovider mwenyewe.
Ila Yule dada viwango vyake vya kunielewa nadhani havikufika kwangu,
Katika kufanya yote mengine hata sijaayaandika humu wala hakuwa na muda na mimi.
Basi Katika kupata nisicholihitaji nakumbuka nilijifunza pombe hapo hapo.
Ashukiriwe Mungu miaka ikaenda nikaja kupata mwanamke ambaye mimi mwenyewe ndo alinipenda sana tena kwa dhati.
Kale kadada nilikuja kukutana nae ofisi moja ya serikali jamii kuna issue tulikuwa tunafuatilia wote nachokumbuka kwa hasira nikamtoa lunch nilitumia elfu 50 kwa ajili yake anione tu na hela.
Baada ya hapo kaanza kunitafuta na kuniambia ya kuwa nimekachunia nikacheka sana nikasema kiko wapi wewe... mpumbavu mmoja kwendraaaaaaaaaaaa
Kheri ya sikukuu ya Eid mkuuIt ain't over until it's over⌚
View attachment 2584749
Thanks so much, my lord🙏Kheri ya sikukuu ya Eid mkuu
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipoMuongo, wanawake hampendi mtu mpole na msema kweli. Mnataka wahuni na wanaowadanganya
Lies,Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
Lies,
Liars
City of lies and liars
Kila abayekuambia anakupenda ni muongo. Anakudanganya. No truth in the world.
To be loved is fate, some others are destined not to be loved
View attachment 2613597
Kisa kilichokufanya wew usipende ni niniNifanyaje ili nami nipende maana hapo ndio kipengele!
MmhNatamanigi nami nipate mtu aniparue moyo wangu niwe nalia ajili yake. Nami nifeel taste ya kua mwanadamu