Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kutokana na hii thread uliotoa it seems upo kwenye pain.
No no.... You're just insinuating things!
Mimi sina hisia(Nina abnormal emotional pain endurance) wala sijali lolote mtu analotaka kunifanyia. Hakuna anayeweza kunikomoa kwa kunifanyia kitu ili niumie.
Nipende au nichukie it's up to you I don't careee
 
kaka, nimeona niulize hii condition je unaona unanufaika nayo, au inaharibu maisha yako....
 
Ar u a Robot??
sijawahi sikia mtu hana hisia unless otherwise kuna kitu amefanyiwa ambacho kilimuumiza sana kihisia but anyway pole sana mwamba
 
Ar u a Robot??
sijawahi sikia mtu hana hisia unless otherwise kuna kitu amefanyiwa ambacho kilimuumiza sana kihisia but anyway pole sana mwamba
I'm not a robot.. It's may armour I chose to wear so I can keep away from pain and miseries inducted by this miserable life. Hakuna lolote baya lililonikuta
 
Kuna mmoja nishawahi kuwa naye, yaani sijamsaliti wala kumtesa nipo naye poa. Ila kila siku ni lawama eti nyinyi wanaumr hamuaminiki na hampendeki, anakuja kukusimulia janga fulani la mwenzake na mwisho aake anaanza kusema tatizo wanaume ndivyo mlivyo. Nikajiuliza huyu mtu vipi, ana kichaaa? Maana nilijitahidi kumwelewesha aondokane na idea hizo ila naona ni kilekile nikaamua kwenda jinsi ambavyo akili zake vilivyo. Maana alikuwa mpumbavu aana, yaani mimi nishapigwa matukio na wanawake wenzake ila sikuwahi kumwambia wanawake ndiyo walivyo
 
Mapenzi yanahitaji kuaminiana.
Alikuwa anakosea kukutuhumu kwa
Makosa ya wengine.
 
Niafanyeje kupata usingizi jamani, kichwani utadhani kuna watu hua wanapiga stori all the time.πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…