Chouder
JF-Expert Member
- Mar 29, 2023
- 558
- 876
Sorry [emoji1787]Kitu kile kile ulichomzuia mwenzio asifanye. Mwishoni na wew umefanya.
"Wanaume"
Tumieni neno baadhi au wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry [emoji1787]Kitu kile kile ulichomzuia mwenzio asifanye. Mwishoni na wew umefanya.
"Wanaume"
Tumieni neno baadhi au wengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kanapunguza ukali wa maneno[emoji23]
No no.... You're just insinuating things!Kutokana na hii thread uliotoa it seems upo kwenye pain.
No need.Sorry [emoji1787]
kaka, nimeona niulize hii condition je unaona unanufaika nayo, au inaharibu maisha yako....No no.... You're just insinuating things!
Mimi sina hisia(Nina abnormal emotional pain endurance) wala sijali lolote mtu analotaka kunifanyia. Hakuna anayeweza kunikomoa kwa kunifanyia kitu ili niumie.
Nipende au nichukie it's up to you I don't careee
Ar u a Robot??No no.... You're just insinuating things!
Mimi sina hisia(Nina abnormal emotional pain endurance) wala sijali lolote mtu analotaka kunifanyia. Hakuna anayeweza kunikomoa kwa kunifanyia kitu ili niumie.
Nipende au nichukie it's up to you I don't careee
Nafaidika zaidi, kwangu kupendwa, kutokupendwa, kufa au kuishi is Equal to 0.kaka, nimeona niulize hii condition je unaona unanufaika nayo, au inaharibu maisha yako....
I'm not a robot.. It's may armour I chose to wear so I can keep away from pain and miseries inducted by this miserable life. Hakuna lolote baya lililonikutaAr u a Robot??
sijawahi sikia mtu hana hisia unless otherwise kuna kitu amefanyiwa ambacho kilimuumiza sana kihisia but anyway pole sana mwamba
The fact kwamba hujui good men wakoje then hilo ni tatizo.Hao good men ndo wanafananaje?,tunawatambuaje? Si ni wanaume hawahawa....hakuna mwanamke anaependa kuingia kwenye mahusiano mabovu..haohao good men ndo wanakuja kutuingiza kwenye toxic relationship tunaanzia patamu tunamalizia pachungu.
Kubwa sanaThe fact kwamba hujui good men wakoje then hilo ni tatizo.
Kuna mmoja nishawahi kuwa naye, yaani sijamsaliti wala kumtesa nipo naye poa. Ila kila siku ni lawama eti nyinyi wanaumr hamuaminiki na hampendeki, anakuja kukusimulia janga fulani la mwenzake na mwisho aake anaanza kusema tatizo wanaume ndivyo mlivyo. Nikajiuliza huyu mtu vipi, ana kichaaa? Maana nilijitahidi kumwelewesha aondokane na idea hizo ila naona ni kilekile nikaamua kwenda jinsi ambavyo akili zake vilivyo. Maana alikuwa mpumbavu aana, yaani mimi nishapigwa matukio na wanawake wenzake ila sikuwahi kumwambia wanawake ndiyo walivyoWanawake wengi wanapenda toxic relationships (wengi, sio wote) na wanadai good men are so boring. Muda ukishaenda wanaanza kutafuta good men wakati huo huo wana negative attitude towards men walizotoka nazo kwenye toxic relationships ambazo walichagua wenyewe. Wanakuja na hizi mentality zao in form of feminism na other negative attitude na stress kibao. Then wanazihamishia kwenye good men ambao hawakuhusika na bad choice zao. The good men will end up dumping you kama ataweza au utaendelea kuwepo huku uki ruin life yake... And the cycle goes on and on.
Don't blame other people for your own terrible choices.
Mapenzi yanahitaji kuaminiana.Kuna mmoja nishawahi kuwa naye, yaani sijamsaliti wala kumtesa nipo naye poa. Ila kila siku ni lawama eti nyinyi wanaumr hamuaminiki na hampendeki, anakuja kukusimulia janga fulani la mwenzake na mwisho aake anaanza kusema tatizo wanaume ndivyo mlivyo. Nikajiuliza huyu mtu vipi, ana kichaaa? Maana nilijitahidi kumwelewesha aondokane na idea hizo ila naona ni kilekile nikaamua kwenda jinsi ambavyo akili zake vilivyo. Maana alikuwa mpumbavu aana, yaani mimi nishapigwa matukio na wanawake wenzake ila sikuwahi kumwambia wanawake ndiyo walivyo
Mwisho wake na mimi nilimchokaMapenzi yanahitaji kuaminiana.
Alikuwa anakosea kukutuhumu kwa
Makosa ya wengine.
Ulimmwaga?Mwisho wake na mimi nilimchoka
Unafikiri nitaendelea vipi na mtu mwenye mawazo ya namna hiyo kila kukicha anawaza wanaume ni hovyo wakati mimi ni mwanaume piaUlimmwaga?
Mtu wa aina hiyo ni rahisi sana kukusaliti
Let it go!!!!! MzeeNiafanyeje kupata usingizi jamani, kichwani utadhani kuna watu hua wanapiga stori all the time.[emoji17]
Pole bro😔😔😔Niafanyeje kupata usingizi jamani, kichwani utadhani kuna watu hua wanapiga stori all the time.😔
Pm ndio wap hukoUngenipigisha hata story pm