Kuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Hilo unalosema la kuhisi kuna sauti kichwani nime experience week kadhaa zilizopita. Nliamua niende nikapoteze muda kwenye mkesha wa mwenge, nikacheza ,kuruka sana etcKuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Dawa pekee ya hili tatizo ni mpaka kile ninachokua nakiwaza nikitoe kwa kukiandika, ndio maana utaona nina utitiri wa nyuzi nyingi. Ila kwa sasa nashindwa kuandika kila mara tena jili ya muda[emoji17] sasa matokeo yake usingizi sipati.
Looh nimejielezea sana hadi aibu
Hamna bwana, generalization inakuja sababu wanawake katika kufanya maamuzi ya mahusiano huwa hamtumii akili binafsi, kama sio kutumia akili ya group basi mtatumia akili ya kamati ya marafiki.Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
This is the sad truth. I have dealt and endured this in more than 5 times. Most girls lack home trainings and don't want to fix themselves to be okay, they believe they are strong but deep inside they are weak.Wanawake wengi wanapenda toxic relationships (wengi, sio wote) na wanadai good men are so boring. Muda ukishaenda wanaanza kutafuta good men wakati huo huo wana negative attitude towards men walizotoka nazo kwenye toxic relationships ambazo walichagua wenyewe. Wanakuja na hizi mentality zao in form of feminism na other negative attitude na stress kibao. Then wanazihamishia kwenye good men ambao hawakuhusika na bad choice zao. The good men will end up dumping you kama ataweza au utaendelea kuwepo huku uki ruin life yake... And the cycle goes on and on.
Don't blame other people for your own terrible choices.
[emoji3][emoji3]Hamna bwana, generalization inakuja sababu wanawake katika kufanya maamuzi ya mahusiano huwa hamtumii akili binafsi, kama sio kutumia akili ya group basi mtatumia akili ya kamati ya marafiki.
Matokeo yake ndio haya sasa wanaume wanawaona sawa nyote kuwa mnafanana.
Tazama makosa wanayofanya wanawake katika mahusiano utagundua yanafanana na matokeo yanafanana. Halafu wakishaharibu ndio unaona wanaanza kukaza akili na kujifanya wanaweza sasa kutumia akili. Hii ndio inasababisha wanawake muonekane nyote mwalimu wenu m'moja.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hii sio kweli. Tena you know deep down inside unaongea kitu ambacho si kweli. Niambie hapa , first time ya wewe kuhisi upo kwenye situation ya mahusiano yaani haujaanza mahusiano ila ndio umehisi mtu huyu hapa anataka tulianzishe, je?Hao good men ndo wanafananaje?,tunawatambuaje? Si ni wanaume hawahawa....hakuna mwanamke anaependa kuingia kwenye mahusiano mabovu..haohao good men ndo wanakuja kutuingiza kwenye toxic relationship tunaanzia patamu tunamalizia pachungu.
Ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] dah jamaa unasoma hadi nukta, mimi sikuona hiyo aiseee. Kweli bi dada karudia kosa lile lile.Kitu kile kile ulichomzuia mwenzio asifanye. Mwishoni na wew umefanya.
"Wanaume"
Tumieni neno baadhi au wengi.
Unaona how its easy kwenu wanawake kujitetea but its not easy kuona matatizo yenu ?Sorry [emoji1787]
Ongea bana😂[emoji3][emoji3]
I have seen this too. Ni sawa na mtu hajui kuchagua migahawa mizuri anakula sehemu wanapika hovyo then analaumu labda mkoa fulani hawajui kupika.The fact kwamba hujui good men wakoje then hilo ni tatizo.
Then get treated on that kwanza ili uweze kupata uwezo wa kuona vema unakosea wapi.Kubwa sana
Niseme nini jameni [emoji28]Ongea bana[emoji23]
Tazama makosa wanayofanya wanawake katika mahusiano utagundua yanafanana na matokeo yanafanana[emoji3][emoji3]
Hata salamu😂Niseme nini jameni [emoji28]
Shikamoo [emoji28]Hata salamu[emoji23]
unaniambia shikamoo unataka kuninyima😂Shikamoo [emoji28]
Ugali [emoji28]unaniambia shikamoo unataka kuninyima[emoji23]
Huyo lazima shida ilianza kwa mama yake. Ukifuatilia utakuta hivyo. Ukiona binti anaongea mambo ya kusadikika jua akili chafu aliyonayo amerithi kwa mama yake.Kuna mmoja nishawahi kuwa naye, yaani sijamsaliti wala kumtesa nipo naye poa. Ila kila siku ni lawama eti nyinyi wanaumr hamuaminiki na hampendeki, anakuja kukusimulia janga fulani la mwenzake na mwisho aake anaanza kusema tatizo wanaume ndivyo mlivyo. Nikajiuliza huyu mtu vipi, ana kichaaa? Maana nilijitahidi kumwelewesha aondokane na idea hizo ila naona ni kilekile nikaamua kwenda jinsi ambavyo akili zake vilivyo. Maana alikuwa mpumbavu aana, yaani mimi nishapigwa matukio na wanawake wenzake ila sikuwahi kumwambia wanawake ndiyo walivyo
U are depressed and u don't know it yet.Niafanyeje kupata usingizi jamani, kichwani utadhani kuna watu hua wanapiga stori all the time.[emoji17]