Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #1,441
Kuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Dawa pekee ya hili tatizo ni mpaka kile ninachokua nakiwaza nikitoe kwa kukiandika, ndio maana utaona nina utitiri wa nyuzi nyingi. Ila kwa sasa nashindwa kuandika kila mara tena jili ya muda😔 sasa matokeo yake usingizi sipati.
Looh nimejielezea sana hadi aibu