Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Unaishi mwenyewe, i think hapa ndipo inapokuja umuhimu wa kuwa na mwanamke ambaye atasimamia hiyo hali na kukutoa huko.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tazama makosa wanayofanya wanawake katika mahusiano utagundua yanafanana na matokeo yanafanana
Kuhusu kufanya makosa ya kufanana mbona hata wanaume wanafanya the same thing,hakuna jipya kwenye mapenzi makosa ni yaleyale.
Wanaume huwa haturisk pale tunapokutana na a good woman. Ni wanaume wachache sana huwa wanazingua na hawa huwa wanafeli maisha yao yote kuishi na mwanamke hawajifanikiwa.

But women ni kawaida sana like 90% out of 100% ya mabinti, akikutana na kijana mwenye pure intentions at heart ambaye amechagua kujitoa kwaajiri ya mapenzi na yupo tayari kujitoa kwa lolote ili kuwa nae you young Whopper Snappers huwa hampo tayari kufungiwa mapema kifungo cha mahusiano katika umri ule wa young age sababu mnakuwa na ile mentality ya kutaka kuenjoy life kabla hamja settle down for life.

Hapa ndipo huwa mnatibuana na wanaume hapa. Maana muda mnataka kutulia tayari umeshapitiwa na wanaume zaidi ya watano. Sasa hapo ninakuwa nimepata mwanamke au nimepata taulo la guest house.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana sana jamaa na hiyo Hali Aina Tiba mbali na kuandika andika?

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hujakosea aisee mama yake ni mke wa mtu ila mumewe nasikia ni mgonjwa akaamua kuliwa na binamu yake. Basi siku mjomba wake kamzingua mama yake anakuja kuniletea hizo habari na mwishoni anamaliza wanaume ndiyo mlivyo. Nilimchoka aisew
 
Aisee pole vinci ila naona kama vile kuna vitu bado vinakumbua
 
I'll be alone, but happy. So that nobody can never ever hurt me.
 
Mkuu Da'Vinci pole na majukumu nakumbuka nilikuahidi kuwa nitakuandalia vitabu vya sheria nakumbuka ahadi yangu hii miezi miwili nimebanana nikipata upenyo tuu hata wa siku moja nitakuandalia
 
Mkuu Da'Vinci pole na majukumu nakumbuka nilikuahidi kuwa nitakuandalia vitabu vya sheria nakumbuka ahadi yangu hii miezi miwili nimebanana nikipata upenyo tuu hata wa siku moja nitakuandalia
Pole sana na ahsante sana kwa kuUphold ahadi yako. Nitafurahi sana ukifanya hivyo. Mitchell "Divine" Diggs kaka wa Rapper na Producer RZA aliweza kusimamima maswala ya mikataba,Patent n copyright ya kundi la Wu-Tang Clan kupitia kujisomea vitabu vya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…