Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Kuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Dawa pekee ya hili tatizo ni mpaka kile ninachokua nakiwaza nikitoe kwa kukiandika, ndio maana utaona nina utitiri wa nyuzi nyingi. Ila kwa sasa nashindwa kuandika kila mara tena jili ya muda[emoji17] sasa matokeo yake usingizi sipati.
Looh nimejielezea sana hadi aibu
Unaishi mwenyewe, i think hapa ndipo inapokuja umuhimu wa kuwa na mwanamke ambaye atasimamia hiyo hali na kukutoa huko.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tazama makosa wanayofanya wanawake katika mahusiano utagundua yanafanana na matokeo yanafanana
Kuhusu kufanya makosa ya kufanana mbona hata wanaume wanafanya the same thing,hakuna jipya kwenye mapenzi makosa ni yaleyale.
Wanaume huwa haturisk pale tunapokutana na a good woman. Ni wanaume wachache sana huwa wanazingua na hawa huwa wanafeli maisha yao yote kuishi na mwanamke hawajifanikiwa.

But women ni kawaida sana like 90% out of 100% ya mabinti, akikutana na kijana mwenye pure intentions at heart ambaye amechagua kujitoa kwaajiri ya mapenzi na yupo tayari kujitoa kwa lolote ili kuwa nae you young Whopper Snappers huwa hampo tayari kufungiwa mapema kifungo cha mahusiano katika umri ule wa young age sababu mnakuwa na ile mentality ya kutaka kuenjoy life kabla hamja settle down for life.

Hapa ndipo huwa mnatibuana na wanaume hapa. Maana muda mnataka kutulia tayari umeshapitiwa na wanaume zaidi ya watano. Sasa hapo ninakuwa nimepata mwanamke au nimepata taulo la guest house.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Dawa pekee ya hili tatizo ni mpaka kile ninachokua nakiwaza nikitoe kwa kukiandika, ndio maana utaona nina utitiri wa nyuzi nyingi. Ila kwa sasa nashindwa kuandika kila mara tena jili ya muda[emoji17] sasa matokeo yake usingizi sipati.
Looh nimejielezea sana hadi aibu
Pole sana sana jamaa na hiyo Hali Aina Tiba mbali na kuandika andika?

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
😢😢
Screenshot_20201017-225531~2.png
 
Huyo lazima shida ilianza kwa mama yake. Ukifuatilia utakuta hivyo. Ukiona binti anaongea mambo ya kusadikika jua akili chafu aliyonayo amerithi kwa mama yake.

Hiyo kitu kisaikolojia wanaita Emotional incest au Convert Incest. Unakuta bi mkubwa anakaa na binti yake mtoto wa miaka 12 anaanza kumwambia kuhusu namna baba yake anacheat na wanawake halafu anamalizia kwa kusema "yaani wanaume hawa mwanangu ukija kuwa mtu mzima utajionea uombe MUNGU tu yasikukute"

Haya mahubiri huendelea hadi mtoto anakuwa mkubwa mtu mzima vile vitu vinakuwa kichwani so anapofikia umri wa kuanza mahusiano say 18 years anaanza kuwa very picky kwa wanaume. Anakuwa anahisi vitu kwa kuimagine na sio kwa kuona au kufanyiwa.

Matokeo yake nafsi inakuwa inaridhia kuwa alichosema mama yake ni kweli. Sababu atakuwa anawakorofisha wanaume kwa makusudi kama anavyokukorofisha wewe ili approve maneno ya mama yake, na hata ukiwa mtu poa atakutibua ili kutest character yako na kuona how long utaweza himili vituko vyake, ukishindwa ndipo na yeye anasema "Bingo" mama alikuwa sahihi, ila ukivumilia ndio hivyo tena ataendelea kukutibua day by day hadi pale atakapochoka na kushindwa utoto wake.

So kimsingi chunguza sana binti mama yake yupoje utaona ninachokwambia. Shida hapo ni mama yake ndio kamtengeneza mtoto hivyo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hujakosea aisee mama yake ni mke wa mtu ila mumewe nasikia ni mgonjwa akaamua kuliwa na binamu yake. Basi siku mjomba wake kamzingua mama yake anakuja kuniletea hizo habari na mwishoni anamaliza wanaume ndiyo mlivyo. Nilimchoka aisew
 
Kuna ugonjwa wa masikio unaitwa Tinnitus, yaani sikio muda wote linakua kama kuna sauti inalia kwa ndani. Sasa mimi hii ipo kwenye kichwa yaani kama kuna watu wanajadili kichwani, ukisema usiku ulale yaani ndio hali inazidi. Ndio maana najikuta naingia kitandani saa 3 nakuja kupata usingizi sa 8.
Dawa pekee ya hili tatizo ni mpaka kile ninachokua nakiwaza nikitoe kwa kukiandika, ndio maana utaona nina utitiri wa nyuzi nyingi. Ila kwa sasa nashindwa kuandika kila mara tena jili ya muda[emoji17] sasa matokeo yake usingizi sipati.
Looh nimejielezea sana hadi aibu
Aisee pole vinci ila naona kama vile kuna vitu bado vinakumbua
 
I'll be alone, but happy. So that nobody can never ever hurt me.
FB_IMG_16665574900497027.jpg
 
Mkuu Da'Vinci pole na majukumu nakumbuka nilikuahidi kuwa nitakuandalia vitabu vya sheria nakumbuka ahadi yangu hii miezi miwili nimebanana nikipata upenyo tuu hata wa siku moja nitakuandalia
 
Mkuu Da'Vinci pole na majukumu nakumbuka nilikuahidi kuwa nitakuandalia vitabu vya sheria nakumbuka ahadi yangu hii miezi miwili nimebanana nikipata upenyo tuu hata wa siku moja nitakuandalia
Pole sana na ahsante sana kwa kuUphold ahadi yako. Nitafurahi sana ukifanya hivyo. Mitchell "Divine" Diggs kaka wa Rapper na Producer RZA aliweza kusimamima maswala ya mikataba,Patent n copyright ya kundi la Wu-Tang Clan kupitia kujisomea vitabu vya sheria
 
Back
Top Bottom