Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Hii hali ilinikuta kwenye mahusiano yangu yaliyopita..nahisi nilikua attached sana kwa yule mwanamke.

Kwanza tulipendana sana, alinisaidia vitu vingi sana ukizingatia nilikua bado mwanafunzi wa chuo kwhyo alisolv vitu vingi. Hata matatizo yangu ya ujana yeye alinisaidia, kuna kipindi nilikamatwa nikakaa polisi wiki mbili nzma (nilikutwa na misokoto kadhaa ya weed so sikutaka yeyote home ajue) na huku polisi wanadai namba za ndugu ili wawambie waje kunitoa wao wapige hela mi nawambia sina namba yyte. Washkaji walivomwambia manzi akaja kunitoa, alilipa 400K ili kuua lile soo..na mbaya zaidi siku amekuja kunitoa kumbe ndo siku ambayo mother kapata taarifa so by the time tunatoka nje ya jengo la polisi tunakutana na mama..ile mother kuniona na kumuelekeza situation ilivokua she cried aisee halafu akam hug yule mwanamke wakalia sana pamoja! Nikazidi kumpenda..

Ikatokea kipindi nikampa mwanamke mwingine ujauzito, aliumia na akalia sana that day..akanambia nae alikua na ujauzito pia, alitaka kunifanyia surprise siku ya Graduation anambie. Lkn hakutaka kunikosa, mahusiano yakaendelea akanambia tulee tu hizo mimba. Nikaona i found an angel in person, she loved me hadi nikaogopa..mwanamke wangu wa pili ndo alitangulia kujifungua, nikapata a princess na huyu mwanamke aka suggest nimuite mwanangu Rowlene.

Baada ya mimi kupata mtoto mahusiano yakaendelea lkn kwa shida sana, kukaanza kutokea maugomvi mengine hayaelewek kabisa. Sometimes namuita ghetto inatokea tuu kanikosea kitu hasira zinanipanda nampiga akn hapohapo nakuja kugundua nmemkosea nambembeleza (lkn hapa nikawa naumia kwani ilibd tusahau kosa lake).

Mahusiano niliyapambania sana, nilihisi hakuna kitakachowezekana bila yeye. Ikafika kipindi najiaibisha (something i said I'd never do) ili kumfanya abaki.

Things turned from bad to worse aliposema anataka kuachana na mim kwan anahisi alikuja kwenye maisha yangu kama daraja tuu ili mm niwe na nimpendae..hapa pia nilipambania sana, i felt weak and cried a lot. Sikuliona kosa na kama ni yale madogo madogo nilifikiri tungeweza kuyasolv. I tried ndugu zangu lkn juhudi zangu ziligonga mwamba. Badae nikaja kugundua kuwa kuna kitu kagundua, alishika simu akakuta nmemsev yule mwanamke "Wifey".. Yeye hakua na shda kwa mimi kuwasiliana nae, ila tuu nimpende yeye peke yake huyu tuwasiliane tuu kama wazazi wenza. Hapo nikajua hakuna nnachoweza kufanya ili kumfanya abaki..na kumuacha siwez kwani i felt like i was loosing a part ov me!!

Ikafika kipindi nikaamua niache kujidhalilisha..nitakubaliana vipi na fact kuwa nnamkosa? Nikamuomba tuu nimkosee kosa ambalo litafanya mimi nayey tusitafutane tena, tuchukiane mno. Tukakubaliana kuwa sehem ya mwisho ya mahusiano yetu ilikua kama kiazi kilichooza, kila mtu aliumizwa..tukakubaliana tufanye kitu. Meenh nikafanya bonge moja la tukio ambalo kweli tulifanikiwa kupata tulichotaka. I hope she's fine huko aliko
 
Samahani kwa maswali mkuu

-Unaendelea na huyo mzazi mwenzako mwingine?
-Huyo ex wako haukupata naye mtoto?
-Ulifanya tukio gani hadi mkaachana mazima?

Ila umepoteza mwanamke wa thamani sana; rare gem of a person.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila samahan Chief
1. Naendelea na mzazi mwenzangu, tunaishi pamoja saivi..raising our princes. It's a match made in heaven i think

2. Mara ya mwisho kumpata hewani alinitumia picha ya mtoto wa kiume kwa whatsapp namba ambayo haijawahi kuwa online tena (nilifananisha sana yule kid) na akasema amemuita Taraj..na akanipromise kuwa sitowaona tena for good. Sikuwa na kipingamizi coz u know sikutakiwa kuwa nacho

3. Naomba nisikujibu hili mkuu wangu, ila tuu halikua tukio zuri..na ni tukio ambalo linatupa sababu ya kutokukutana tena
 
Maybe alikuwa daraja kwako as she said. Ila usije ukamchepukia tena na huyu afu ukazaa nje; utaalika vita kwenye maisha yako. Kila la kheri kweni. Ahsante kwa kunijibu
 
Sasa hapa ndo umeongea kitu gani.
Sijawahi lazimisha mpenzi au rafiki abaki kwenye maisha yangu .

Nina rafiki mmoja na my Good friend mmoja ambao licha ya mambo yangu ya ovyo wakati mwingine but still wapo kwa ajili yangu..hawa viumbe acha tu niwalazimishe wabaki kwenye maisha yangu wana maana kubwa Sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

121.
 
Mambo ya KULAZIMISHA penzi sijawahi kuyafanya na wala sina mpango wa kuyafanya. Naweza kupenda hadi watu wakadhani nimelishwa LIMBWATA lakini akanikorofisha tu basi sinaga msalie mtume. KIBUTI ni mara moja nabaki na kutibu majonzi yangu lakini kupiga magoti huo UJINGA sifanyi.
 
Mbaya zaidi mimi nilisomea mambo ya madini (mawe) yaani kwenye hizi biashara huwa siamini mtu yeyote hadi katika maisha ya kawaida hata familia siiamini muda mwingine hata decisions zangu siziamini i can question my decisions mpaka niridhike ndo naamini nipo sahihi😁
 
Mbaya zaidi mimi nilisomea mambo ya madini (mawe) yaani kwenye hizi biashara huwa siamini mtu yeyote hadi katika maisha ya kawaida hata familia siiamini muda mwingine hata decisions zangu siziamini i can question my decisions mpaka niridhike ndo naamini nipo sahihi[emoji16]

Dah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom