Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Muda wako haujafika kiongozi utalia na kusaga meno..hayana mbabe and it's matter of time
Aisee mimi nimeumizwa sana na marafiki kipindi nakua...hii imeniathiri mpaka sasa..rafiki yangu anaweza jua nipo nae sambamba kumbe simwamini hata tone...hata wanawake hivyo hivyo sijawahi penda demu nikachanganyikiwa hata kupenda tu kwangu shida...
 
mi nang'ang'aniaga ili akikubali nimkule ya mwisho tu alafu nisepe!! yaan kinachonifanya ning'ang'anie ni ili akikubali mi ndo nimuache sio aniache teh teh!

ongeleeni maumivu yote mnayoyajua ila maumivu ya "mko kikundi cha watu 8 harusini, wote wanapata sahani ya pilau na wewe unakosa" sio maumivu madogo ni makubwa sana, na kuzuia machozi ni kipaji kwenye mda huo.
 
Niko hp nafight for what I love ila nimebakiza phase 2 tu zikishindikans na hizo basi tena nitaacha aende though something deep inside is telling me that one day atakuja kunitafuta nikiwa sipo kabisaa sababu ninajijua....sababu ss hv bado ni kitu roho inapenda acha nimpe efforts zangu muda hizo chapter 2 zikipita hamna mafanikio nitaweka tick kua sio fungu langu[emoji847]
Pole mkuu vipi ulifanikiwa??

Binafsi naona imeshindikana.... Nakumbuka tangu 2018 May nimejaribu kupambania nnachokipenda bila mafanikio ndipo tarehe 22/11/ niliamua rasmi kubwaga manyanga na kuamua kusonga mbele ajabu yeye ndio anashtuka Hali Mimi nimeshafanya maamuzi tokea ndani... Acha tu aende siwezi tena.
 
Pole mkuu vipi ulifanikiwa??

Binafsi naona imeshindikana.... Nakumbuka tangu 2018 May nimejaribu kupambania nnachokipenda bila mafanikio ndipo tarehe 22/11/ niliamua rasmi kubwaga manyanga na kuamua kusonga mbele ajabu yeye ndio anashtuka Hali Mimi nimeshafanya maamuzi tokea ndani... Acha tu aende siwezi tena.
Wewe tangu 2018 me tangu 2016 mpaka leo nimepambana tu na nimekuja kuona mafanikio
Inshort nilikuwa kama mstari wa roma Nataman Ngono ila sina hisia za mapenzi maisha yangu yalikuwa hivyo ila Nilikutana na JW nikasoma vitabu vyao Nikamua kubadilika mtazamo wangu nitafute wa kumpenda
kuna dada alikuwa rafiki angu sio sanaa kutokana alikuwa ni mkimya hapendi kuongea nikaanza kujikeep busy na yeye 2016 Nikarusha ndoano ikachomolewa nikasema sikati tamaa nimeenda nae as friends hivyo hivyo mpaka nimekuwa mtu muhimu sanaa kwake Kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa mwaka huu amefunguka hisia zake kwangu Mambo yamejipa soon naweza agana na ubachelor...
 
Back
Top Bottom