Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

shida ilianza kwake, na mainly kwny mawasiliano, sema all in all, mtu akibadilika, hata ukiiaddress shida hatobadilika, badala yake kuonesha makucha zaidi. Kwny kuonesha makucha zaidi, kwa sababu unakuwa unamkubali unakuta unasema fine, ngoja nijishushe tuyamalize, ila ndo hivyo tena, anakuwa haambiliki, unaona ni sawa tu, kila m1 aende njia yake
Hapo alikuonesha green light uende hana muda naww ungejikataa tu hata usibembeleze kitu. Then chukua manzi mwingine mkali hadi yeye, kule kutobembeleza na bado ukaopoa kifaa kikali kwingine itamtesa sana
 
haya mambo haya!! ndio maana yule jamaa akamrekodi mke wake akiwa anakunywa sumu huku anamuangalia
 
shida ilianza kwake, na mainly kwny mawasiliano, sema all in all, mtu akibadilika, hata ukiiaddress shida hatobadilika, badala yake kuonesha makucha zaidi. Kwny kuonesha makucha zaidi, kwa sababu unakuwa unamkubali unakuta unasema fine, ngoja nijishushe tuyamalize, ila ndo hivyo tena, anakuwa haambiliki, unaona ni sawa tu, kila m1 aende njia yake
hili swala la kujishusha linatumaliza wengi tunaonekana hatuna akili wanaona wametuweza...
 
Kumpenda nampenda bado siwez kataa maan kuingia kwenye mahusiano Mengine nimeshashindwa

nimetry hard for the past 8 years.... Yan i know everything about her...

yeye anaamin i won't survive nitalud tuu..
8years bado umeshindwa kumsahau,najua kupenda lakini siwezi kumove muda wote huo,upendo wako kwake kwakwel ni too much yaani nimeshindwa hata chakukuambia ila umenishangaza
 
We ushawahi mkuu?
Haijawahi kutokea mimi kulazimisha mawasiliano na mtu.
Ukiwa interested nami nitakua interested nawe x10 zaidi. Ukizingua napotezea "Sawa haina shida, haya haina shida" ndio inakua imetoka hivo
 
You're going to bleed on someone who did not cut you
Not really but always never let your guard down....you will be surprised

Most people tend to ignore the red lights from their partners hoping for the better but at the end it backfires.

Ntakupa mfano hai umenitokea juzi tu hapo....kuna manzi nilimwambia tuwe wapenzi akakubali tukawa tunawasiliana kwenye simu vizuri kabisa kwa week ile ya kwanza na tukapanga first date wiki inayofuata na tulipanga tuonane on friday

Cha ajabu sasa one day before meeting ambayo ni Thursday manzi harespond texts na naona she's updating her Whatsapp status

Anakuja kujibu text on Friday jioni kabisa na ndo siku ambayo tulipanga tuonane for the first time tena alivyo respond I thought atakuja na excuse ya kuchelewa na kushindwa kuonana hiyo siku lakini cha ajabu ana act as if hamna tulichopanga kwa siku ile yani kajitoa betri na mimi nikajizima data as if hamna kilichotokea and I didn't bother communicating with her anymore na relationship ikafa siku hiyo hiyo

Nikaona upuuzi Yani first date tu mtu analeta mapicha picha unadhani kutakua na relationship ya maana hapo

Na wengi wenu mnafeli kwenye scenarios kama hizi unaona kabisa unalazimisha mapenzi lakini unajipa moyo kumbe ungeweza ku asses situation mapema ukaendelea na mambo yako mengine

So always don't ignore the red lights..stay taliban

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom