Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

nami natamani ningeweza kuwa na moyo mgumu kama wako
Naweza kukuelekeza kama utakua tayari, ila haita affect kwenye mapenzi tu bali kila engo. Lakini sometimes inabidi iwe inborn character yako.
[Mimi najali sana sana kuhusu wanadam wenzangu, ilibidi nitengeneze hali hii ili kuukinga moyo wangu. Mimi hata mgonjwa siwezi kumuangalia coz hua naumwa kabisa anyway nisijieleze sana my personal traits]
 
I offered love and you spat on my face😟
FB_IMG_1682888853096.jpg
 
Naweza kukuelekeza kama utakua tayari, ila haita affect kwenye mapenzi tu bali kila engo. Lakini sometimes inabidi iwe inborn character yako.
[Mimi najali sana sana kuhusu wanadam wenzangu, ilibidi nitengeneze hali hii ili kuukinga moyo wangu. Mimi hata mgonjwa siwezi kumuangalia coz hua naumwa kabisa anyway nisijieleze sana my personal traits]
Nifundishe tu nimechoka
 
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
Wanawake wengi wanapenda toxic relationships (wengi, sio wote) na wanadai good men are so boring. Muda ukishaenda wanaanza kutafuta good men wakati huo huo wana negative attitude towards men walizotoka nazo kwenye toxic relationships ambazo walichagua wenyewe. Wanakuja na hizi mentality zao in form of feminism na other negative attitude na stress kibao. Then wanazihamishia kwenye good men ambao hawakuhusika na bad choice zao. The good men will end up dumping you kama ataweza au utaendelea kuwepo huku uki ruin life yake... And the cycle goes on and on.

Don't blame other people for your own terrible choices.
 
Hao good men ndo wanafananaje?,tunawatambuaje? Si ni wanaume hawahawa....hakuna mwanamke anaependa kuingia kwenye mahusiano mabovu..haohao good men ndo wanakuja kutuingiza kwenye toxic relationship tunaanzia patamu tunamalizia pachungu.
 
Kwanini mnpenda ku-generalize?? Usiseme wanawake sema mwanamke maana sio wote....haiwezekani wanawake wote wawe na tabia moja..afu wanaume ndio mnaotuvuruga na nyie ndio mmesababisha tufike hapa tulipo
Kitu kile kile ulichomzuia mwenzio asifanye. Mwishoni na wew umefanya.

"Wanaume"

Tumieni neno baadhi au wengi.
 
Back
Top Bottom