Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, hivi hawa superfeo na zile buses za BM za Morogoro ni za mtu mmoja?...Kuna siku Songea tumekesha bar Planet sijui bado ipo! asubuhi nikaunganisha na superfeo hadi Njombe. Wakati natoa bag nikachukua ambalo sio langu, nikapanda bus za kwenda Ludewa.
Kufika milima ya gangitoroli nikapokea simu kuwa tumechanganyana mabag, mwenye langu kaliweka ofisi za superfeo kwa hiyo nitalikuta pale.
Bila shaka upo njema sana katika judo na karate bossNdio. Nilikua nimetulia kuona mwisho wao. Tulikua tunapata habari mbalimbali za wizi na utapeli wa bongo. Kwahiyo mimi nilikua tayari kujipanga mapema. Wangeondoka na begi langu. Na mimi ningeondoka nao. Bila kupiga kelele. Kwanza nilijiona kazi yangu ingekua nyepesi....
Sawa mzee baba. Next time sitavamia siti za mbele za abiriaUngewaacha watu wachangie kwanza,hizi siti za mbele hutakiwi dereva kuzimiliki mwenyewe😁
Daaah noma sana mkuu...Niliingia kanisani kusali nikaweka baskeli nje ila nilisahau kuifunga baada ya sala kumaliza kutoka nje naiona baiskeli ipo na nikashangaa sana haikuibiwa maana ni nilisahau kuifunga ,basi nikaamua kurrudi kanisani kwenda kushukuru kwa mungu kwa kuikuta basikeli yangu ipo salama, wandugu kutoka baiskeli haipo, ,.
Planet ipo mkuu na boss ni yule yule mchaga mzee msalanga ila yule mama wa counter maarufu mama dave mungu kampenda zaidiKuna siku Songea tumekesha bar Planet sijui bado ipo! Asubuhi nikaunganisha na superfeo hadi Njombe. Wakati natoa bag nikachukua ambalo sio langu, nikapanda bus za kwenda Ludewa.
Kufika milima ya gangitoroli nikapokea simu kuwa tumechanganyana mabag, mwenye langu kaliweka ofisi za superfeo kwa hiyo nitalikuta pale.
Nilivyofika kituo cha nyumbani nikaliacha tu stand kwa jamaa then nyumbani nikaenda kama le baharia yaani sina kitu mkononi hata peni.
Siku ya pili nikalipitia na kwenda kubadilishana Njombe.
Nakuona mzee baba "bombi nyumbi" wangoni raha sanaPlanet ipo mkuu na boss ni yule yule mchaga mzee msalanga ila yule mama wa counter maarufu mama dave mungu kampenda zaidi
Planet ipo mkuu na boss ni yule yule mchaga mzee msalanga ila yule mama wa counter maarufu mama dave mungu kampenda zaidi
Mimi katika harakati zangu. Nilitoka Unguja kufika bara. Kushuka kwenye boti pale bandarini. Vijana wa Azam wameniambia mizigo yote unayifwata mbele ya mlango wa kuelekea Custama. Mie nimetii naelekea sehemu iliomwaga mizigo ya abiria... Vijana wa pale bandarini wanachagamkia kugombania mizigo ya kubeba. Vijana wawili wamejitokeza wamechagua begi langu. Moja kati yao amesema ndo hilo livute. Na mimi nimenyamaza nawangalia kwa jicho la huruma ila aliekuja kuharibu shoo yote ndo ule niliefwatana nae.
Kusema kusema Sheikh begi lako si ndo hilo vijana yanaolinyanyua? Nilimwambia ndio ila ananiletea hapa. Ghafla abiria yote wameshangaa. Kwa upole nilionyesha na bila kubishana nao wale vijana. Niliwambia nimenyamaza kusudi ili nijue mwisho wa mchezo wenu? Ili mkichezecha begi langu rafu. Na mimi niwapoteze kimya kimya huko baharini.
Ilienda wap mkuuNiliingia kanisani kusali nikaweka baskeli nje ila nilisahau kuifunga baada ya sala kumaliza kutoka nje naiona baiskeli ipo na nikashangaa sana haikuibiwa maana ni nilisahau kuifunga ,basi nikaamua kurrudi kanisani kwenda kushukuru kwa mungu kwa kuikuta basikeli yangu ipo salama, wandugu kutoka baiskeli haipo, ,.
Nilitaka kumswalia kabla hajapoteza uhai wake..Maiti ingetafutwa baharini jioni yakeKwamba Ulitaka kufanya umafia kimya kimya hahahahah!
Mimi ni mjaluo "purely"Kumbe wewe jamaa ni mjaluo, kabila lenu nalikubali kinouma pia inanikumbusha maisha ya uvuvi miaka hiyo sota na shirati
Hahahahaaa wewe ni hatari sana mkuuNilitaka kumswalia kabla hajapoteza uhai wake..Maiti ingetafutwa baharini jioni yake
Nyamaghuku umewahi kufika boss.Mimi ni mjaluo "purely"
Ndio mkuu, ninapafahamu sanaNyamaghuku umewahi kufika boss.
Mwili wa mtoto mchanga ndani ya box? Doooh sio mchezo hata kidogo...Huko mbeya miaka ya nyuma kabla @Bujibuji hajazaliwa kuna abiria alitamani box lilikuwa kwenye carrier ya ndani gari imetoka swanga linaenda tukuyu.
Jamaa akashuka mwanjelwa na box alililitamani.
Mbele kidogo mwenye box ana note kuwa mzigo umeshashuka. Kuuliza akaambiwa box limeshuka mwanjelwa. Akasema ndani mna mwili wa mtoto mchanga
Mtu wa nyumbani wewe nitakutafuta tuzungumze kidogo huko PMNdio mkuu, ninapafahamu sana