Hivi we jamaa una miaka mingapi maana mambo yako si haba ๐ค๐ค๐คHahah Mkuu Huwa Niko na kiwango kikubwa Cha Uwazi na ukweli !!
Yaan hapa Dunian ,mambo ambayo yanaonekana ni magumu kwamtu, Kwa mwingine ni mepesi sana.
Kwa ufupi, Nimeshanusurika kufumaniwa Mara 4 , na katika hizo 4, Moja ilibidi mpaka nikafungue Jalada Polisi na Yule Mume wa Mwanamke akajaga kuniomba Msamaha mwenyewe, maana nilihakikisha Jalada nimelisuka kwelikweli .
Kweli kabisa uko sahii, pia nahitaji nipate tips nyingi kutoka kwako[emoji23].Hahah Mkuu Huwa Niko na kiwango kikubwa Cha Uwazi na ukweli ...
Mi mwenzio niliishia kuchimba shimo kwa kisigino,shimo refu mpaka nikakutana na majiMi tayari nilipigwa mistari ya kutosha hadi nikawa najikunakuna tu
[emoji23][emoji23] Ningekuwa na sifa gani labda kati ya chache nilizozitaja?Mbona unanionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787],yaani sifa alizoweka hapo simuwezi mmi
We mshikaji [emoji1787][emoji1787]Aaahhh sawa , mie napenda Ngono ila Ngono salama na Jana Nmempiga bao tatu za nguvuu Boss mmoja Hivi Mwanamama.
[emoji1787][emoji1787]She came into my life by this method
She clearly stated that she loves me, I asked her thrice do you real love me?...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara nyingi ,nilivo maharage ya mbeya huwa sikatai[emoji41]
Uwe unajali,usiwe jeuri[emoji23][emoji23] Ningekuwa na sifa gani labda kati ya chache nilizozitaja?
Hivi usemi huu huwa unamaanisha niniReal men dont kiss and tell [emoji847]
Kuwa na kifuaHivi usemi huu huwa unamaanisha nini
๐๐๐๐๐ Amna dawa sheikh ni kitu kinatokea kiasili tu.Una dawa au mbona mimi sitongozwi๐
Nyota ya umasikini hiyooUncle yako inaonekana Ana nyota ya kupendwq na wanawake.
Kuna kau kweli asee maana ni mtu wa kawaida sana sio masikini ila si tajiri na hana dalili ya kuwa tajiri ๐คNyota ya umasikini hiyoo
Kama kweli kaokoka hiyo ndio sababu kuu. Kuzimu kunamuwinda...!Daaah mbona hii kali asee mi kuna uncle wangu ni tax driver sio tajiri sio masikini ila anavyotongozwa na wanawake mmmmh assee
Sijui ni nguvu za Mungu au nn maana jamaa kaokoka kweli
Na sio handsome wala nn ana 47 hapo najiulizaga sana ila wote anawakataliaga tu [emoji848][emoji848][emoji19]
Hapo Kwenye Nearly destroyed your life Pajazie tupate la kujifunza.She came into my life by this method
She clearly stated that she loves me, I asked her thrice do you real love me?
She replied yes
I went to her friend asking, does she love me real?
Her friend replied Yes she does and she loves you so much
I trusted her and entered the love game again, did my best as a man
But what happened ?
She nearly destroyed my life !