Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

Ooh! Binti yule mrembo mwema malaika wa siku njema. Aliniacha kwa mbwembwe na dharau sana japo sikumtendea ubaya na nilimheshimu na kumpenda sana nikamtunza yeye pamoja na ndugu zake wengi. Leo hii mimi ndiye nimegeuka na kuwa mfariji wake mkuu. Ila namshukuru sana kwa kunizalia kabinti kazuri kajiniazi ajabu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Hakuna bingwa wa maisha na umwonaye leo kuwa hana thamani kesho na kesho kutwa ndiye anaweza kugeuka kuwa mwokozi wako. Namshukuru malaika huyu kwa kunikomaza mapema katika haya mambo ya mapenzi. Nawadeizi niko ngangari ajabu na mtu akianza drama zake mi namwangalia tu. Mungu na Amsaidie katika mitihani anayoipitia. Tuogope sana kuumiza watu hasa wanaotupenda na kutujali. [emoji1545][emoji1545]
Pole kwa mkasa kama wangu
 
Nilikwaruzana nae kitu kidogo penzi lilikua la miez miwil tu badae akaanza kuwaweka wanaume wengine status WhatsApp na ujumbe wa mapenzi, nikawa naaanglia status zake alaf si comment chochote status zikawa zinazid zikawa nyingi mnoo had zikawa pale juu zinaonyesha dot kibao (............) lakin na mm nikawa naziangalia makusudi tu alaf sicomnt kumbe lengo lake lilikua ni kunipima mm nampenda kias gan lakin niliona ni kama ananikosea heshima,,, niliachana nae kimyakimya na nikaamua kuweka umakin kwenye maisha yangu Bila ya mahusiano...
Sahiv ananiomba msamaha anasema alikua ananijaribu anione Kama Nina wivu nae mm nikamjibu siwez kuwa na mahusiano na mtu asieweza kunipa heshima hata ya kinafk
Mkuu ulikuwa hupimwi, lengo lake lilikuwa ni kukukomoa, hizo status mhusika mkuu ulikuwa ni wewe hivyo lengo lake lilifanikiwa, hapo alikuwa anavimba kichwa akawa anajihisi unamwaza sana na ana uwezo wa kukunyanyasa.

Hakunaga haja ya kuangalia status za aina hio, ni kufuta namba yake tu

Hata hapa anapotaka kurudiana na wewe atapata kiburi zaidi ukimkubalia maana atakuona kakuteka
 
Watu wengi mapenzi yanawaumiza baada ya kuachana kwasababu walipokuwa katika huo uhusiano hawakuwa wakijitoa.....

Ile hapi ya kutokujitoa kwa mwenza wako huwa inaacha deni la utegemezi ndani yako. Siku huyu mwenzako akiondoka zake wewe ndani ya nafsi yako unaanza kupata mfadhaiko wa nafsi sababu unaona mtu aliyekujali na kuwapo kwaajiri yako ameondoka zake.... Hapo ndio maumivu huanza kutokana na upweke.

Ukitaka break up isikutese unapokuwa na mwenzako jitoe kwa moyo kwake. Mpatie mahitaji yake ya msingi na muhimu zaidi usiwe na mahusiano nje yake.

Siku akikuzingua na kutaka kukuacha kwa sababu zake wala usimbembeleze, muulize tu kosa gani umefanya, akishakujibu wewe pita hivi...... Endelea na maisha yako.

Ndani ya akili yako immunity system itakurecover haraka sababu itakapokuwa ikitafuta mafaili ya kutathimini uhusiano wenu itagundua kuwa haukuwa unamfanyia ubaya mwenzako na hivyo hautakuwa na deni nae so moyo wako utaridhika sana ndani na utaanza upya vizuri.

Balaa kwa bi dada au mshikaji aliyekuzingua.... Huko atakapokwenda nafsi itakuwa na deni..... Ataanza kuhaha.
 
Ooh! Binti yule mrembo mwema malaika wa siku njema. Aliniacha kwa mbwembwe na dharau sana japo sikumtendea ubaya na nilimheshimu na kumpenda sana nikamtunza yeye pamoja na ndugu zake wengi. Leo hii mimi ndiye nimegeuka na kuwa mfariji wake mkuu. Ila namshukuru sana kwa kunizalia kabinti kazuri kajiniazi ajabu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Hakuna bingwa wa maisha na umwonaye leo kuwa hana thamani kesho na kesho kutwa ndiye anaweza kugeuka kuwa mwokozi wako. Namshukuru malaika huyu kwa kunikomaza mapema katika haya mambo ya mapenzi. Nawadeizi niko ngangari ajabu na mtu akianza drama zake mi namwangalia tu. Mungu na Amsaidie katika mitihani anayoipitia. Tuogope sana kuumiza watu hasa wanaotupenda na kutujali. [emoji1545][emoji1545]
I see, umenifikisha mbali sana. Utadhani story inanihusu Mimi.
 
Nliamua kufanya yangu 2013, nlifumba macho nikageuka wala skurudi nyuma jamaa hadi leo bado ananitafuta alishajua namba zake sipokei, anatumia za watu nkishaskia sauti tu nakata.....simjibu shit ata mara moja nakata tu napotezea mpaka sasa jamaa hajaoaaaaa.....
Mwanaume huwa hachelewi kuowa anaweza kuowa hata na miaka 50 wadada wakishafika 30 tu mziki unaanza kuwa mgumu
Kwahiyo usijali ataowa tu
 
usitukane mamba kabla ya kuvuka mto

Nmeitoa sehemu.

Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anacho kihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP et ili niumie kweli kamoyo kaliniuma afu nikajidai hakuna kilicho tokea na ilikuwa nimpe pesa flani.

Tuliyokuwa tumekubaliana kesho yake akataka ile pesa nikamwambia mm siwez endeleaa kuhudumia mwanamke wa mtu akasema poa tuachane basi maisha yakaendelea

Nikawa nawaza kwa shida za huyu demu jamaa ataweza kweli? Aisee siku hz asubuh nakuta sms asubuhi njema ikifika usiku unashangaa sms usiku mwema moyoni nasema utakula ulichokipanda japo kweli nilikuwa nampenda ila njaa nyingi yule manz kwa mabaharia wengine hawez kudumu naye mwez
Dah mbona kesi nyingi za kimapenzi zinafanana!??

[emoji23][emoji23][emoji23] sidhani katika vituko alivyofanya ex wangu kuna hata kimoja kaacha maana kila nikipitia visa vya wajuba nakutana na alichonifanyia yeye!!!
 
Soma hapa na hiii

Pisi moja hivi amazing nilikuwa siipi pesa na nilikuwa busy busy kidogo, sasa siku moja nikaona no ya CO mmoja nilikuwa namjua na kituo cha kazi, nikamjaza nikamwambia zaa hapa nikajua hawezi zaa ata kwa dawa maana CO anamendea mzigo nikajua ataliwa tuu na kutoa

Siku zikaenda siku moja nikamwambia tuonane, akagoma, nikalazimisha akasema mimba imeharibika nikasema sawa, nikavuta nilipo kutana nae kumbe katolewa manual bado hajapona vizuri maeneo.

Siku zikasogea tena, Siku moja nikamwambia tuonane akanijibu nimesha pata mchumba na tayari anataka kunioa so mapenz kwangu yameisha, nikasema asante na hongera.

Nikampotezea akawa ananitafuta siku moja moja nikamwambia nimepata mchumba na nimeoa na mm, akaanza kusema nilikuwa nakujaribu sina mchumba wala mpenzi ni ww tu, nilimwambia mm sijalibiwi.

Hadi leo namuona tu yupo hajaolewa wala nn tunapishana salam kila mtu na maisha yake mpuuzi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnajua kukomoana eti
 
Alinimwaga kisa mimi ni mkulima,ila baada ya muda akagundua mkulima ni jina langu tu la ukoo,simu zikaanza kupigwa asubuhi,mchana na jioni,akitaka turudiane.

Sasa hivi ni masela tumefungua banda la chipsi mwezi uliopita.
[emoji23][emoji23][emoji23]madada huwaga na dharua kuumbe.

Dont judge a book through it cover
 
Nilikwaruzana nae kitu kidogo penzi lilikua la miez miwil tu badae akaanza kuwaweka wanaume wengine status WhatsApp na ujumbe wa mapenzi, nikawa naaanglia status zake alaf si comment chochote status zikawa zinazid zikawa nyingi mnoo had zikawa pale juu zinaonyesha dot kibao (............) lakin na mm nikawa naziangalia makusudi tu alaf sicomnt kumbe lengo lake lilikua ni kunipima mm nampenda kias gan lakin niliona ni kama ananikosea heshima,,, niliachana nae kimyakimya na nikaamua kuweka umakin kwenye maisha yangu Bila ya mahusiano...
Sahiv ananiomba msamaha anasema alikua ananijaribu anione Kama Nina wivu nae mm nikamjibu siwez kuwa na mahusiano na mtu asieweza kunipa heshima hata ya kinafk
Dah nyie watu aisee[emoji119][emoji119]
 
Nliamua kufanya yangu 2013, nlifumba macho nikageuka wala skurudi nyuma jamaa hadi leo bado ananitafuta alishajua namba zake sipokei, anatumia za watu nkishaskia sauti tu nakata.....simjibu shit ata mara moja nakata tu napotezea mpaka sasa jamaa hajaoaaaaa.....
Kweli mimi sijaoa je Wewe umeolewa?
 
Watu wengi mapenzi yanawaumiza baada ya kuachana kwasababu walipokuwa katika huo uhusiano hawakuwa wakijitoa.....

Ile hapi ya kutokujitoa kwa mwenza wako huwa inaacha deni la utegemezi ndani yako. Siku huyu mwenzako akiondoka zake wewe ndani ya nafsi yako unaanza kupata mfadhaiko wa nafsi sababu unaona mtu aliyekujali na kuwapo kwaajiri yako ameondoka zake.... Hapo ndio maumivu huanza kutokana na upweke.

Ukitaka break up isikutese unapokuwa na mwenzako jitoe kwa moyo kwake. Mpatie mahitaji yake ya msingi na muhimu zaidi usiwe na mahusiano nje yake.

Siku akikuzingua na kutaka kukuacha kwa sababu zake wala usimbembeleze, muulize tu kosa gani umefanya, akishakujibu wewe pita hivi...... Endelea na maisha yako.

Ndani ya akili yako immunity system itakurecover haraka sababu itakapokuwa ikitafuta mafaili ya kutathimini uhusiano wenu itagundua kuwa haukuwa unamfanyia ubaya mwenzako na hivyo hautakuwa na deni nae so moyo wako utaridhika sana ndani na utaanza upya vizuri.

Balaa kwa bi dada au mshikaji aliyekuzingua.... Huko atakapokwenda nafsi itakuwa na deni..... Ataanza kuhaha.
Nakubaliana nawewe
 
Aisee kamanda una huruma sana, hongera katika hili. Binafsi mtoto wa kike akiniletea dharau huwa siwezi kumsamehe kabisa zaidi ya kumtangazia msiba na kumchinjia baharini. Huwa wanasema mimi nina roho mbaya, lakini sipendi dharau. Kama unaachana na mimi, wewe nifuate uniambie kama umechoka ili kila mtu achukue mbao zake. Ila ukiniletea vituko, utaishia kuniona mimi mtu katiri.

Miaka hiyo wakati ndiyo naanza kutafuta maisha, kuna mmoja aliwahi kuniletea dharau na vimbwanga. Nilichomfanya yule binti familia nzima walinitafuta, mpaka anaenda kuolewa mimi natupiwa lawama. Juzi nasikia kakutana na mdogo wangu akaanza kumlalamikia mambo niliyomfanyia. There's a red line that nobody crosses.....
Mkuu ulimfanyia nn
 
Back
Top Bottom